Huu ni uhujumu uchumi, SUMATRA na TRA chunguzeni. Kuna vituo vya mafuta ya petrol na diesel hapa Morogoro wameacha kutoa receipts ili kuikosesha serikali mapato.
Chunguzen sitovitaja vituo husika kwani mnalipwa mishahara kwa Kazi hiyo. Sasa basi kama kuna baadhi yenu wana colude na wamiliki wa vituo husika vya mafuta huo ni uhujumu uchumi.