Kuna baadhi ya vituo vya mafuta Morogoro hawatoi receipts

Kuna baadhi ya vituo vya mafuta Morogoro hawatoi receipts

kagoshima

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
2,887
Reaction score
5,687
Huu ni uhujumu uchumi, SUMATRA na TRA chunguzeni. Kuna vituo vya mafuta ya petrol na diesel hapa Morogoro wameacha kutoa receipts ili kuikosesha serikali mapato.

Chunguzen sitovitaja vituo husika kwani mnalipwa mishahara kwa Kazi hiyo. Sasa basi kama kuna baadhi yenu wana colude na wamiliki wa vituo husika vya mafuta huo ni uhujumu uchumi.
 
Back
Top Bottom