BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,380
😂😂😂🙏🙏Choo cha kulenga jau sana, unaachia kimba chap unasimama, ukikosea hesabu rojorojo la nnya linakurudia kwenye kalio.
Watu wanaishi kwa tabu sana, ni kudra za Mwenyezi hawapati magonjwa ya mlipuko, na kweli pamba wanazinyuka aisee.
Nimecheka sana ukikutana nao hatariChoo cha kulenga jau sana, unaachia kimba chap unasimama, ukikosea hesabu rojorojo la nnya linakurudia kwenye kalio.
Watu wanaishi kwa tabu sana, ni kudra za Mwenyezi hawapati magonjwa ya mlipuko, na kweli pamba wanazinyuka aisee.
Acha mzee ni noma we waone tu huko mjini na viatu vyao vimekula kiwi.Nimecheka sana ukikutana nao hatari
Hatari hiyo mzee.😂😂😂🙏🙏
Dah😄😄Choo cha kulenga jau sana, unaachia kimba chap unasimama, ukikosea hesabu rojorojo la nnya linakurudia kwenye kalio.
Watu wanaishi kwa tabu sana, ni kudra za Mwenyezi hawapati magonjwa ya mlipuko, na kweli pamba wanazinyuka aisee.
Hatari sana😂😂Choo cha kulenga jau sana, unaachia kimba chap unasimama, ukikosea hesabu rojorojo la nnya linakurudia kwenye kalio.
Watu wanaishi kwa tabu sana, ni kudra za Mwenyezi hawapati magonjwa ya mlipuko, na kweli pamba wanazinyuka aisee.
Chumba cha 30 kitanda cha tano kwa sita hakitoshiAcha uongo mimi naishi magomen chumba cha elf 30 mbona kizuri tu na kina umeme
Makumbusho Town kabisa vyumba vya elf 80 vizur tuChumba cha 30 kitanda cha tano kwa sita hakitoshi
Bora Bora nikae nje ya mji aiseeChumba changu cha kwanza kupanga hapa DSM kilikuwa kipo vibaya ila kutokana na hali ikabidi nikizoee licha ya uchakavu wa chumba changu ili kuna baadhi ya vyumba mitaani vilikuwa too much nikakumbuka kuna mshikaji alipata kazi ya kupuliza dawa ya mbu kwenye wilaya fulani alikuwa akiniambia brother kuna watu wanalala sehemu mbaya.
DSM vyumba vingi vilivyopo karibu na mjini ambavyo vinarange kati ya 50000 to 80000 ni majanga aisee kama budget yako ni hiyo na unatafuta chumba mitaa ya karibu na town utawakasirikia madalali bure hakuna chumba cha maana vyumba vidogo vyenye uchakavu wa hali ya juu.
Unajua ukuta wenye fangasi brother? Unajua chumba kisicho na singibodi jirani yako akipiga show au kujadiliana na mke wake vyote unasikia achana na hayo vipi choo cha kulenga ukishusha mzigo maji machafu yanakurukia makalioni wewe acha tu usione masista duu na mabraza men wamependeza ila wanapoishi ni balaa tupu.
Tutafute pesa wakuu tuwe na access ya makazi bora
Shukuru Mungu km unalala pazuri, kuna watu wanalala nje kabisa tena chini ya madaraja, kwenye makaravati, kwenye stendi za mabasi vile viti vya abiria sehemu za kuangalia TV ndio sehemu zao za kulala na wanaishi mjini, wengine wanalala chini ya flyover ya Kijazi na Mfugale siku zinasonga, madaraja ya juu yote watu wanalala chini na maisha yanasongaUnajua chumba kisicho na singibodi jirani yako akipiga show au kujadiliana na mke wake vyote unasikia achana na hayo vipi choo cha kulenga ukishusha mzigo maji machafu yanakurukia makalioni wewe acha tu usione masista duu na mabraza men wamependeza ila wanapoishi ni balaa tupu.
Wanaogopa kuchelewa kaziniBora Bora nikae nje ya mji aisee
Watu wanalamba mkanda na Unyunyu Plus kingereza kingiiiChoo cha kulenga jau sana, unaachia kimba chap unasimama, ukikosea hesabu rojorojo la nnya linakurudia kwenye kalio.
Watu wanaishi kwa tabu sana, ni kudra za Mwenyezi hawapati magonjwa ya mlipuko, na kweli pamba wanazinyuka aisee.