zege la nyasi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 938
- 1,255
Next time atakuwa amejifunza lakini na nyinyi wanawake inapotokea ukapendwa pendeka unaweza usipate mwanaume mwingine atakayekupenda
Wasengerema sana hawaTena huyo Mkuu Wa kituo hana akili kabisa kwa kutumia madaraka yake vibaya!!
Ni urimbukeni kuwekeza kwa mwanamke ambaye si mke wako.Wengi naona mnamlaumu mshikaji wangu pekee mbona hamuangalii upande wa huyo mwanamke
Be blessed Mkuuugomvi ulitokea mwanza mkuu
Ila mimi kwa sasa SIPO HUKO
tuwasamehe maana kama ni adhabu nadhani Mungu alisha waadhibu
Yule mkuu wa kituo katolewa nyota yake
Saivi kabaki na u staff sergent
Huyu kivuruge wangu,ana zaa kila iitwayo leo
Hadi sasa kama sikosei ana watoto 6 wa baba tofauti
Adhabu hizo zinawatosha kabisa maalim
Hahahalabla amechepuka kisa amenunuliwa IST, angejaribu kumnunulia hata passo.