Kuna baadhi ya wanawake si watu wazuri

Kuna baadhi ya wanawake si watu wazuri

dah poleni sana kimsingi arudi kwa mama aendelee kuwa naye karibu lasivyo ataendelea kuvurugika. . ...
 
Bora niwe dume suruali tu,ila sihongi above 30k never
 
ugomvi ulitokea mwanza mkuu

Ila mimi kwa sasa SIPO HUKO

tuwasamehe maana kama ni adhabu nadhani Mungu alisha waadhibu

Yule mkuu wa kituo katolewa nyota yake

Saivi kabaki na u staff sergent

Huyu kivuruge wangu,ana zaa kila iitwayo leo

Hadi sasa kama sikosei ana watoto 6 wa baba tofauti

Adhabu hizo zinawatosha kabisa maalim
Be blessed Mkuu
 
Inabidi muelewe tuu, mwanafunzi wa chuo lazima awe na kijamaa chake cha kumsaidia assignment na kuuzia sura kwa wenzake
 
Mimi nilishtuka mapema kua kuna boya atakuwa anamtafuna, nikafanya utafiti wangu kiutulivu kabisa nikapata details zote, siku niliyoamua kuchomoa betri nimemtia usiku mzima, nikaanza kuongea nae kiutaratibu kuhusiana na huyo jamaa akajaa mwenyewe, nikajifanya Nikamwambia sawa basi wewe endelea nae hichi unachofanya sasa ni umalaya kalia sana mimi nipo tayari kukaa pembeni yakikushinda rudi...huu ni mchepuko wangu wa kudumu sasa na kwa ile lifestyle alikuwa nayo chuo bila mimi hawezi
 
Back
Top Bottom