Kuna baadhi ya wanawake si watu wazuri

Kuna baadhi ya wanawake si watu wazuri

Na ashukuru kamuwahi.... Uwekezaji ambao angeufanya , alafu mwisho Demu akamuacha jamaa

Kajamaa kako kangejiua, sababu kangekumbuka maneno ya Mama mzazi..kangejiona Fala!!

Kuna mdau humu kasema...DEMU BILA PESA HAKUPENDI......

Khan mwenzako kamnunulia Demu gari+ akakataa kumsikiliza mama yake + akananua gar kumuonyesha dem kua anampenda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu Zero IQ yeye anamchakata bila hiyana bila gharama.

Mwanamke usipomjua, ATAKUPA TABU SANA !!!

Jifunzeni kushika mioyo ya watu nasio vitu .................

Kuna mtu kadiri ulivyoukamata moyo wake, kila akiwaza kukusaliti ANAISHIA KULIA WEE NA KUOMBA SHETANI AMPITIE MBALI...na hapo hauna pesa wala nn!!
 
Mkuu ama kweli watu wengi tunafikiri tofauti Aisee.. mimi ili nijifeel comfortable kwenye mahusiano niwe na pesa!
 
Kwel kabisa
 
"MPENDE JIRANI YAKO KAMA UNAVYOIPENDA NAFSI YAKO"

Kosa kubwa sana ni kusoma Biblia kama gazeti badala ya kumwomba Roho Mtakatifu aongoze akili zetu kuielewa vzr.

Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa na uhusiano na demu mmoja hiv ambaye ni mwanachuo ambaye huyo demu na me tunasoma chuo kimoja.Rafiki yangu alimpenda yule kiasi ambacho alitaka amuoe huyo demu.

Pamoja na uhusiano wao kukaa muda mrefu ila changamoto kubwa iliyojitokeza ni mama mzazi wa rafiki yangu alikuwa apendi mtoto wake amuoe huyo demu na sijui ni kwann cos rafiki yangu hakuniambie sababu ni Nini?

Rafiki yangu kutokana na mapenzi aliyonayo kwa huyo binti alimnunulia gari aina ya ist ingawa yeye gari Hana na kipato chake ni Cha kawaida lakini pia akawa analipa hela ya chumba alichomkodia karibu na chuo anachokaa huyo binti.Siku moja huyo binti alimpigia simu mpenzi wake ambaye ndio rafiki yangu nakumuuliza leo utakuja huku rafiki yangu akamjibu leo sitakuja nitakuwa busy kumbe yule dada alikuwa pia na boyfriend wake mwingine wa hapo hapo chuo

Bahati nzuri rafiki yangu alimaliza shughuli zake saa 12 jioni na alikuwa amepanga aende kwa mjomba wake kutokana na miadi walipanga.Baadae mjomba wake akampigia simu nakumwambia Kuna dharula nimepata sasa hiv leo tughailishe rafiki yangu akakubali akaona basi Bora aende tu kwa mpenzi wake.

Alivyofika akapewa habari na majirani kwamba mtu wake kaingiza mwanaume ndani rafiki yangu akapaniki Sana na kuugonga mlango mpaka ukavunjika akaingia ndani na kuanza kumpiga huyo mwanaume siku hiyo hiyo ni kapokea simu kutoka kwa demu wa rafiki yangu akaniambie nije hiyo sehemu.Nilivyofika nikakuta watu wengi wamejaa wanampiga yule mwanaume aliyechepuka na demu wa mshikaji wangu ikiwemo rafiki yangu huku demu wake amemfunga na kamba. kile kitendo kilinishangaza Sana tokea tuwe na urafiki na mshikaji wangu kwa muda mrefu sijawahi kumuona ana hasira kama siku hiyo cos mshikaji wangu ni mpole,mshaarabu na mtaratibu.

Nikabidi niingilie Kati wanadau wamuachie huyo kijana nikamuuliza rafiki yangu unamjua huyu kijana? akasema hamfahamu kama umfahamu kwanini umpije ikiwa sijui kama anafahamu demu wako anatoka na wewe nikamwambia tena wakati umewakuta wanafanya ngono kwani demu wako alilazimishwa au aliridhia mwenyewe kama demu wako alikubali kuwa na huyu jamaa kosa ni la demu wako au la huyu jamaa si Bora udili na demu wako kuliko huyu jamaa.

NB: hili tukio ni la ukweli na limetokea juzi tu ili Jambo limeniumiza Sana japo sikutendwa me rafiki yangu amemnunulia gari ikiwa yeye Hana,amegombana na mama yake kisa huyu demu,rafiki yangu amejitoa kwa vitu vingi kwaajili huyu demu still anasalitiwa unataka upendwe kiasi gani ili ulizike?Kuna vitu vingine hata me mwenyewe siwezi kufanya kwa demu wangu lakini jamaa yangu anafanya
 
ni leo ndio umegundua hilo?

Tangu hawa viumbe wanilaze sentrooo,siwatamani hata kwa bure

Napita nao mbali sana,maana yule pimbi aliekua na basha mkuu wa kituo

akasababishwa nikafichwa sentrooo wiki nzima nalishwa mkate
 
Mkuu ama kweli watu wengi tunafikiri tofauti Aisee.. mimi ili nijifeel comfortable kwenye mahusiano niwe na pesa!
Upo sahihi kabisa mkuu 100% ,na nikweli Pesa ndani ya mahusiano ni muhimu sana.

Ila hizi pesa tuzitafute kwa ajili ya maisha yetu ......

Tusizigeuze kua Sehemu ya ulinzi kwa mwanamke nakihakikishio kua sasa umemkamata sababu unampa kila kitu.

Madem hawana kanuni..

Huyu kanunua Gari..lkn Dem analiwa na Zero IQ mkaanga chips.

Mwingine ye demu wake, analiwa najamaa mwenye pesa kuliko yeye[emoji23][emoji23]

Nini Basi mwanamke anataka??? NI SWALI AMBAO WASOMI NASISIS TUSOKUA WASOMI HATUJALIPATIA JIBU.

sanasana, tunajitahidi kuwasoma kutokana na mazingira
 
Kuna tafiti nilisoma inasema 'You never know your woman.
 
Mtu mkimya akikasirika ndio anavyokua,

Ila jamaa ana haraka sana, angesubiri baada ya kuoa ndio angefanya yote hayo, hata hizo hasira zinatokana na alivyomgharamia mwanamke wake, alafu lijamaa linakuja Kula tu bila kunawa.

Hawa viumbe ni wa ajabu sana.
 
Siwewe hauna, wazaz wako awana na wanalala mbavu za mbwa alaf vijana wengi wanaofanya ivyo maisha ya kwao walipo toka yanakuwa duni sana, wakifika mjini wanajifanya watoto wa kishua.
Unamnunuliaje gf gari wakati wewe hauna?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unforgetable
 
ni leo ndio umegundua hilo?

Tangu hawa viumbe wanilaze sentrooo,siwatamani hata kwa bure

Napita nao mbali sana,maana yule pimbi aliekua na basha mkuu wa kituo

akasababishwa nikafichwa sentrooo wiki nzima nalishwa mkate
Upo wapi mkuu??Mimi nanunua huo ugomvi
 
Rafiki yako ni mshamba na limbukeni wa wanawake
yaliyompata anastahili labda ndo dawa ya ulimbukeni wake
Alafu unaweza kuta baada ya ugonvi kwisha kidume ndiyo kiliomba msamahaa kwa demu wake!!!
 
bila shaka ulilia sana profesa!
alilia yeye,akakosa wa kumwachia mtoto ili aendelee na masomo,ilibidi awe anakaa na house girl huko chuoni wa kumwachia mtoto,maisha yake yalichange sana,sema Mungu ni mwingi wa rehema..
 
Kuna jamaa yangu juzi alinihadithia ye ana demu wake ni mwalimu.Pia wamezaa mtoto mmoja wa kiume halafu mshikaji ashamtambulisha kwa ndugu zake hata mama yake anamjua sema kupitia picha tu.Mshikaji anasema dem so mzuri wala nini ila ametokea kumpenda kuliko wanawake wote alokuwa nao.Sasa bana kuna siku anazunguka zunguka nyuma ya nyumba akachungulia dirishani yaan chumbani kwao anamuona mchumba wake yupo uchi ameshika simu kama anajirekodi.Kufatilia Akakuta kumbe kuna mchungaji anamtumiaga picha za utupu na video.Demu mwenyew mnyakusa.
 
hahahahahaha.....daaaah hii Dunia bwana,tunishi kama mifugo,kila mtu anaamua ampande yupi
 
Huyo Rafiki yako kweli anajua kupenda, yeye hana Gari anamnunulia Mpenzi Gari.
 
Back
Top Bottom