Kuna baadhi ya wanawake si watu wazuri

Kuna baadhi ya wanawake si watu wazuri

Kilichofuata baada ya hapo? maana umeweka pozi katikati ya chorus Bosi
Kuna jamaa yangu juzi alinihadithia ye ana demu wake ni mwalimu.Pia wamezaa mtoto mmoja wa kiume halafu mshikaji ashamtambulisha kwa ndugu zake hata mama yake anamjua sema kupitia picha tu.Mshikaji anasema dem so mzuri wala nini ila ametokea kumpenda kuliko wanawake wote alokuwa nao.Sasa bana kuna siku anazunguka zunguka nyuma ya nyumba akachungulia dirishani yaan chumbani kwao anamuona mchumba wake yupo uchi ameshika simu kama anajirekodi.Kufatilia Akakuta kumbe kuna mchungaji anamtumiaga picha za utupu na video.Demu mwenyew mnyakusa.
 
mi bwana nlikua na demu wangu ye yuko ud mi niko udom..ni wa kawaida ila kwakua hajatumika sana nkaona hapa ntaoa,,ingawa ye alikua anaona namchukulia poa..kumaliza mwaka wa tatu paap tumerud kitaa na tulikua hatujaonana..nikasikia wahuni wananipa hongera ya kumtia mtu mimba..nikasema sasa hii miujiza ya mwamposa imefka mbali..siku tumeonana tena alikua ananikwepa...kumbe tumbo limejaa..akaanza kulia..mi nkamnyamazisha...nikamchukulia pikpik ad kwao ...nikawa napga nae stor..nampelekea ukwaju..ubuyu..yani kama am okay...mbaya zaid maza akaanza kuwaambia shoga zake kua anatarajia mjukuu...alivojifungua salama..nikakata mguu...na no nkafuta..baada ya miez sita akaanza kuntafta anasema anataka mboo tuu,,maana ndo kitu hajapata vile amezoea...nikampa masharti kua yupo mwenzie hvo wivu sitaki..basi saiv namlaaa tuu ...akiwepo mwenzie namwambia usije....hadithi hii inatufundsha tusiwekeze moyo wote kwa wanawake
 
Upo wapi mkuu??Mimi nanunua huo ugomvi
ugomvi ulitokea mwanza mkuu

Ila mimi kwa sasa SIPO HUKO

tuwasamehe maana kama ni adhabu nadhani Mungu alisha waadhibu

Yule mkuu wa kituo katolewa nyota yake

Saivi kabaki na u staff sergent

Huyu kivuruge wangu,ana zaa kila iitwayo leo

Hadi sasa kama sikosei ana watoto 6 wa baba tofauti

Adhabu hizo zinawatosha kabisa maalim
 
Unamnunuliaje mchumba gari,ilihali wewe huna?
Hizi si akili,ni ulimbukeni wa mapenzi tu,amevuna
alichopanda,ili next time awe mwangalifu.
 
Muwekezaji mjinga sana. Anastahili ujira wa alichowekeza.

Unawekeza kwenye mapenzi tena kwa mtu ambaye bado yupo chuo!? Au hawajui mademu wa chuo?
 
Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa na uhusiano na demu mmoja hiv ambaye ni mwanachuo ambaye huyo demu na me tunasoma chuo kimoja.Rafiki yangu alimpenda yule kiasi ambacho alitaka amuoe huyo demu.

Pamoja na uhusiano wao kukaa muda mrefu ila changamoto kubwa iliyojitokeza ni mama mzazi wa rafiki yangu alikuwa apendi mtoto wake amuoe huyo demu na sijui ni kwann cos rafiki yangu hakuniambie sababu ni Nini?

Rafiki yangu kutokana na mapenzi aliyonayo kwa huyo binti alimnunulia gari aina ya ist ingawa yeye gari Hana na kipato chake ni Cha kawaida lakini pia akawa analipa hela ya chumba alichomkodia karibu na chuo anachokaa huyo binti.Siku moja huyo binti alimpigia simu mpenzi wake ambaye ndio rafiki yangu nakumuuliza leo utakuja huku rafiki yangu akamjibu leo sitakuja nitakuwa busy kumbe yule dada alikuwa pia na boyfriend wake mwingine wa hapo hapo chuo

Bahati nzuri rafiki yangu alimaliza shughuli zake saa 12 jioni na alikuwa amepanga aende kwa mjomba wake kutokana na miadi walipanga.Baadae mjomba wake akampigia simu nakumwambia Kuna dharula nimepata sasa hiv leo tughailishe rafiki yangu akakubali akaona basi Bora aende tu kwa mpenzi wake.

Alivyofika akapewa habari na majirani kwamba mtu wake kaingiza mwanaume ndani rafiki yangu akapaniki Sana na kuugonga mlango mpaka ukavunjika akaingia ndani na kuanza kumpiga huyo mwanaume siku hiyo hiyo ni kapokea simu kutoka kwa demu wa rafiki yangu akaniambie nije hiyo sehemu.Nilivyofika nikakuta watu wengi wamejaa wanampiga yule mwanaume aliyechepuka na demu wa mshikaji wangu ikiwemo rafiki yangu huku demu wake amemfunga na kamba. kile kitendo kilinishangaza Sana tokea tuwe na urafiki na mshikaji wangu kwa muda mrefu sijawahi kumuona ana hasira kama siku hiyo cos mshikaji wangu ni mpole,mshaarabu na mtaratibu.

Nikabidi niingilie Kati wanadau wamuachie huyo kijana nikamuuliza rafiki yangu unamjua huyu kijana? akasema hamfahamu kama umfahamu kwanini umpije ikiwa sijui kama anafahamu demu wako anatoka na wewe nikamwambia tena wakati umewakuta wanafanya ngono kwani demu wako alilazimishwa au aliridhia mwenyewe kama demu wako alikubali kuwa na huyu jamaa kosa ni la demu wako au la huyu jamaa si Bora udili na demu wako kuliko huyu jamaa.

NB: hili tukio ni la ukweli na limetokea juzi tu ili Jambo limeniumiza Sana japo sikutendwa me rafiki yangu amemnunulia gari ikiwa yeye Hana,amegombana na mama yake kisa huyu demu,rafiki yangu amejitoa kwa vitu vingi kwaajili huyu demu still anasalitiwa unataka upendwe kiasi gani ili ulizike?Kuna vitu vingine hata me mwenyewe siwezi kufanya kwa demu wangu lakini jamaa yangu anafanya
Madhara ya kununua "upendo" hayo.
 
Yaani mimi kila siku nikiona uzi ambao mwanamme analia kisa mapenzi nabaki tu kusema kumbe sijawahi kupenda na nabaki tu na kanuni yangu ile ile kuwa kama hujaona na hata ukiona usiwe na mwanamke moja.
 
Mnatuchosha kila siku tunasema kitu kimoja acheni kujifanya wasamaria wema kwa wanawake hawa wa mjini mtakuja kufa siku si zenu. Mama yako hajawahi kuendesha hata baiskeli unamnunulia mwanamke gari kama sio uzezeta ni nini??.
Kibaya zaidi yeye hana na ukute hata kudrive tu hajui [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanaume, usifanye investment kwa mwanamke kisa mna uhusiano.
Bora hata usomeshe watoto yatima watakumbuka kuwa Kuna msela alitulipia ada.
Hawa viumbe hata Mungu mwenyewe hawaelewi mpaka Sasa.
Kuna jamaa yangu karibuni kamnunulia mkewe gari ili awe anarahisisha kwenda na kurudi kazini.
Kuna siku akawa anaiona na msela mwingine.
Mtego wake aliouweka ukawanasa siku moja wakiwa hotelini.
Alichofanya Ni kuuza gari na kumzuia mke kwenda dukani akae nyumbani kulea watoto.
Sasa hivi amehama nyumba ameanza maisha mapya. Huyu mwanamke anapelekewa hela ya chakula tu.
 
Huwa nafurahia sana wanaume wezangu wanapolizwa na wanawake. Mtu first priority ni mama mzazi harafu anafuata baba baadae watoto ndipo anafuata mke/mchumba. Mama alikuwa ashamsoma tabia hiyo binti ndio sababu ya kumkatalia kijana wake kuoa tatizo tunawadharau sana wazazi wetu kwa kuwaona wamepitwa na wakati.
 
Huyo mshkaji wako kuna nati zitakuwa zimelegea upstairs... mtu mwenye akili timamu hawezi kumnunulia manzi IST wakati yeye hana huo uwezo...

Jamaa yako ni haki achapiwe na akiendelea na ubwege huo atachapiwa tena .... na this time akichapiwa hatakutana na mwanaume mnyonge wa kumpiga ..
 
Sikua tu kuwa matured, kiukweli maturities kwenye tasnia yeyote ni ngumu sana.
 
Huyo mshkaji wako kuna nati zitakuwa zimelegea upstairs... mtu mwenye akili timamu hawezi kumnunulia manzi IST wakati yeye hana huo uwezo...

Jamaa yako ni haki achapiwe na akiendelea na ubwege huo atachapiwa tena .... na this time akichapiwa hatakutana na mwanaume mnyonge wa kumpiga ..
Mbona unamlaumu mshikaji wangu pekee lakini pia hamuangalii pia kwa upande wa mwanamke
 
Muwekezaji mjinga sana. Anastahili ujira wa alichowekeza.

Unawekeza kwenye mapenzi tena kwa mtu ambaye bado yupo chuo!? Au hawajui mademu wa chuo?
Wengi naona mnamlaumu mshikaji wangu pekee mbona hamuangalii upande wa huyo mwanamke
 
Mbona unamlaumu mshikaji wangu pekee lakini pia hamuangalii pia kwa upande wa mwanamke
Kupenda blindly ndio kosa la mshkaji wako.
Lakini huyo mwanamke hana ana haki zote za kumpenda mtu yoyote as long as hajafunga ndoa na mtu..

Pia twende mbele turudi hivi unaona inamake sense kwa jamaa yako kuhonga gari kwa dem wa chuo??
Jamaa yako ni mpuuzi tu. Walishasema toka kotambo hawa wanawake tuishi nao kwa akili lakini jamaa yako akaamua kutumia hisia..
 
Back
Top Bottom