Kuna baadhi ya Wanawake wanapenda ile harufu ya sigara mwanaume akivuta lakini hawapendi avute sigara!

Jack Palladino

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2018
Posts
7,231
Reaction score
22,494
Nimekuwa na mahusiano na wanawake tofauti tofauti walevi, wavutaji na wengine hawavuti sigara ila wengi wao wanasema wanapenda harufu ya sigara nikivuta but hawapendi nivute sigara!
Hivi hii inakuwaje wadau?
20230121_175919.jpg
 
Harufu ya sigara ambayo naikubali ni ile ya kiwandani

Kama ukipita Tazara kwenye kiwanda cha Sigara ile harufu ni nzuri sana

Hata wavutaji mngekuwa mkipiga pafu inatoka harufu ile msingewekewa mipaka maeneo ya kuvuta sigara
 
Uwa napita sana pale. But kuna wanawake nikikaa nao then nikivuta wanasema wanapenda harufu zaidi but hawapendi nivute sigara😅
Nashindwa kkuelewa kwann?
 
Harufu ya sigara ambayo naikubali ni ile ya kiwandani

Kama ukipita Tazara kwenye kiwanda cha Sigara ile harufu ni nzuri sana

Hata wavutaji mngekuwa mkipiga pafu inatoka harufu ile msingewekewa mipaka maeneo ya kuvuta sigara
Ile tumbaku ya tazara ni noma mkuu
 
Back
Top Bottom