Kuna baadhi ya watalii wa kigeni wanaroho mbaya sana

Hii kali..dah
 
Jamaa katili sana
 
Kinachouma zaidi unakuta mnyama kama twiga au pundamilia na nyati ambae serikali ndio inawathamini zaidi ndio wanauwawa, badala ya kuzuia wanawaacha
Wakijifanya kimbelekbele na wao wanaliwa
 
Yule jamaa alikuwa mjinga. Huwezi kufanya hivyo kwa binadamu. Baada ya kupiga ile picha ilitakiwa amsaidie yule mtoto. Anyways, inaonekana alipitiwa tu kwani kitendo cha yeye kujinyonga baada ya muda kilionyesha alivyojutia. Back to topic. Jamaa mwanzisha thread upeo wake mdogo. Sasa kama simba watakatazwa kula wanyama wengine wao watakula wapi? Kwanza matukio kama haya yanatokea mara nyingi sana bila mwanadamu kuwepo na wanayofanikiwa kurekodi ni machache tu.
 
Hakupitiwa kumsaidia bali aliona amepata bonge la picha na litamuingizia hela ndefu sana

Kujiuwa kwake sio kuwa Ali feel guilty hapana bali tulimlaani sana kila kona ya mitandao mwisho akapata depression akajiua

Haya kuhusu mleta Mada sidhani kama ni mjinga la hasha anajua kabisa anachoandika anataka hoja ijibiwe tu
 
Ilaumu Serikali yako ndugu! Hapo angeingilia si ajabu angebambikiwa shutums za kutaka kuiba nyara za Serikali, na chochote ambacho angelipa kingeenda kwenye matumbo ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…