Kuna baadhi ya watalii wa kigeni wanaroho mbaya sana

huruma za kijinga 😀 😀 😀
 
Ng'ombe kabisa

Kwahyo unaona nyama ya ng'ombe ni sahihi kuliwa na simba na sio nyama ya twiga
 
Acha ushamba bablai...hata askari wanyama pori hawawezi kuzuia simba kula mnyama mwingine.
Ni kosa kisheria kuzuia mnyama kula mnyama.

Mbona mnyama wewe ukikutwa unakamata hata digidigi unaishia lupango
 
Huoni Simba Bob Junior alishambuliwa hadi Umauti ukamfika na Watu wakawa wanaangalia tu, Nature ya Wanayama haiingiliwi
 
Ni kosa_ ata kuwapa Chakula pia ni kosa. We umeenda waangalia na sio kusolve matatizo yao!
 
Kweli washamba hawaishi...hiyo ni nature mkuu

Sijakataa ila nasemea pale anapouliwa mnyama mbele ya mtalii mnyama anajitahidi kuingia hadi mvunguni mwa gari lakini mtalii eti anamtoa ili aliwe vizuri[emoji24][emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…