Kuna baadhi ya watalii wa kigeni wanaroho mbaya sana

Nipe link mkuu
 
Na hao Simba na fisi wakale?
 
Sasa unataka huyo simba afe njaa?

Sio afe njaa.ale auwe hajalatazwa ila sio mbele ya mgeni .wakati mwingine anaua alafu hata hali anaacha hapo
 
Ni kweli inatia simanzi
 
Yeye walichinja hawajaua kwa kunyonga kama simba
Kuchinja sio kuuwa.
Je mtu akija kukuchinja hatashikiwa kwa kuua?
Vitu/mambo mengi brother ni propagabda. Kuamua kuzikubali au kutozikubali.
Ili tuishi inabidi tuwe wakatili kwa viumbe vingine . Ni kuamua kukipotezea kiumbe naisha au kikupotezee maisha.
Sisi binadamu tunashambuliwa na vimelea vidogo sana na tunakufa, nasi tunashambulia baadhi ya viumbe vife tuvile tuishi.
Tunaishi kwa kuua vingine. Ndio nature!
 
Ww unahuruma za kijinga
 
Hiyo ndio nature na ecosystem ....ukizuia umeingilia mfumo wa maisha wa mbugani haifai kabsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…