A
Hii takataka.bachelor of education in psychology
Haaa haaa maprofesa wenu hao ndio wakuachuna ngozi wao wanajiandikia tu nakuanzisha kozi usomi ukizidi sana unakuwq ujingaKuna kozi za education zinatutesa sana. Kozi hizi nyingi zinatolewa UDOM.
Mfano bachelor of education in psychology, education in administration and management, education in policy planning, adult education and community development.
Zote hizi na nyingine zinatolewa kwenye vyuo vikuu lakini kwenye mfumo wa ajira hazipo. Unasoma kozi hio pamoja na masomo ya kufundishia kama Geography, physics au biology lakini kwenye ajira portal huwezi apply. Na sasa hadi private sector wanatushangaa.
Hivi karibuni nilipata kazi shule fulani private na nikaripoti lakini baadaye viongozi walipitia tena vyeti wakasema hii kozi hatuifahamu. Hivyo nafasi yangu ya kazi ikasitishwa nikaachishwa akatafutwa mwingine.
TAMISEMI na Utumishi tunaomba mziweke hizi kozi kwenye mfumo rasmi wa ajira.
Duh,TAMISEMI na Utumishi tunaomba mziweke hizi kozi kwenye mfumo rasmi wa ajira
Inabidi usome PGD au Masters ya kozi zingine.
C tulikubaliana elimu n kwa ajili ya kukufungua akili na sio kwa ajili ya kuajiriwa 😂
Nilitaka nizitaje hizi kozi🤣Bachelor of science in physics
BSC CHEMISTRY
BSC BIOLOGY.
ngoja niweke kituo....
Noma mzeeNilitaka nizitaje hizi kozi🤣
Bachelor of Science General.Bachelor of science in physics
BSC CHEMISTRY
BSC BIOLOGY.
ngoja niweke kituo....