KERO Kuna Bachelor degree courses zinatolewa UDOM lakini hazipo kwenye soko la ajira

KERO Kuna Bachelor degree courses zinatolewa UDOM lakini hazipo kwenye soko la ajira

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Huwezi kutuliazimisha tuweke vitu ambavyo hatuvihitaji kwenye mfumo kisa wewe umesoma.
Ulipaswa kutafiti soko la ajira kabla hujafanya Application, hata chuo kinafanya biashara hakiwezi kukwambia hii hakuna ajira wakati wewe unatoa Ada.

#ELIMU NI UWINGA, USIPOPIGA UTAPIGWA.
 
Futa huu uzi maana unakuaibisha... Otherwise kama hujui hizo course zikoje... Miaka 3 mfululizo watu wenye hizo course wameajiriwa na kazi zilitangazwa ajira portal...
Yaani watu Accounts Finance Banking IT waajiriwe halafu hao akina education wakose kazi..?
 
Ajira portal Gani hiyo isiyoitambua hizo course mbona wenzio wanaomba kazi ndugu mwalimu.
Ndugu mwalimu kipengele kwenye hizo course huko ajira portal lamda uje nacho wewe lakini kuhusu hizo course zimenyooka kabisa na zinatambulika na watu wanaomba usaili wanatwangwa na placement wanapata vzuri tu
 
Huwezi kutuliazimisha tuweke vitu ambavyo hatuvihitaji kwenye mfumo kisa wewe umesoma.
Ulipaswa kutafiti soko la ajira kabla hujafanya Application, hata chuo kinafanya biashara hakiwezi kukwambia hii hakuna ajira wakati wewe unatoa Ada.

#ELIMU NI UWINGA, USIPOPIGA UTAPIGWA.
Shida mihemko mkuu watu wanaishi bila determination kabisa hawafanyi utafiti ilimradi amesoma chuo ndio haya sasa mtaani milio kila kukicha
 
Acturial sciences achana nayo mkuu ni Programmes nzuri sana

Nzuri sana kwa sababu ni complicated au ?
Tunaongelea unafuu wa kupata kazi?
Acturial Science inakuandaa kuwa na professional gani na inatoa ajira ngapi kwa mwaka
 
Back
Top Bottom