Shida mihemko mkuu watu wanaishi bila determination kabisa hawafanyi utafiti ilimradi amesoma chuo ndio haya sasa mtaani milio kila kukichaHuwezi kutuliazimisha tuweke vitu ambavyo hatuvihitaji kwenye mfumo kisa wewe umesoma.
Ulipaswa kutafiti soko la ajira kabla hujafanya Application, hata chuo kinafanya biashara hakiwezi kukwambia hii hakuna ajira wakati wewe unatoa Ada.
#ELIMU NI UWINGA, USIPOPIGA UTAPIGWA.
Wanasemaga kikubwa Degree kikubwa Boom. Hawajui ni issue ya miaka mi3 mpaka mi5 tu unarudi mtaani.Shida mihemko mkuu watu wanaishi bila determination kabisa hawafanyi utafiti ilimradi amesoma chuo ndio haya sasa mtaani milio kila kukicha
Acturial sciences achana nayo mkuu ni Programmes nzuri sanaBachelor of Science General.
Bachelor of Science in Actural Science n.k
Acturial sciences achana nayo mkuu ni Programmes nzuri sana
Hivi wenye BSC BIOLOGY, Hua Wana fit sehemu gani?Bachelor of Science General.
Bachelor of Science in Actural Science n.k