Kuna beef kali kati ya A Town na DSM

Labda mashindano ya ujambazi sawa manake kuna watu wanakufa na kusifiwa kwa mapesa lakini wameua ndugu zetu wangapi? Tatizo latu tunasahau mapema, aliyekua jambazi sugu akiacha na kukabidhi zana za kazi kwa vijana na yeye kubaki mchora ramani na kusubili mali walizokwiba eti sasa anaitwa mfanyabiashara maarufu na kanisani anakua kiti cha mbele na sadaka lukuki pamoja na michango ya kujitolea. Watatumaliza kama mwewe na vifaranga vya kuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…