Kuna Biashara Jinsi Zinavyofanyia Market Nikisanga tu

pilato93

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
7,939
Reaction score
9,687
Habari za usiku utulivu wanajukwaa,

Leo bhana katika kupitia pita mtandaoni Huku na kule nikakutana na Link ya dalali muuza utamu, nikaingia ili nisome some kidogo kusudi muda uende bhana.

Kilichonishangaza ni jinsi wauza utamu wanavyo market biashara zao, mwingine anasema anashida ya 200k akupe utamu, mwingine genye limemzidi anataka 150k, mwingine anataka mtu amkunje kwenye gari ampe 150k, na location zao ni mbezi beach, kigamboni, kimara na goba Hawa ndio wengi japo Kuna location zingine zimetajwa.

Dah kweli Duniani umebadilika kipindi kile hizi hazikuwa sababu.
 
Kilichonishangaza ni jinsi wauza utamu wanavyo market biashara zao, mwingine anasema anashida ya 200k akupe utamu, mwingine genye limemzidi anataka 150k, mwingine anataka mtu amkunje kwenye gari ampe 150k, na location zao ni mbezi beach, kigamboni, kimara na goba
Ulikumbuka kuvaa kinga ??
 
Habari za usiku utulivu wanajukwaa,

Leo bhana katika kupitia pita mtandaoni Huku na kule nikakutana na Link ya dalali muuza utamu, nikaingia ili nisome some kidogo kusudi muda uende bhana.

Kilichonishangaza ni jinsi wauza utamu wanavyo market biashara zao, mwingine anasema anashida ya 200k akupe utamu, mwingine genye limemzidi anataka 150k, mwingine anataka mtu amkunje kwenye gari ampe 150k, na location zao ni mbezi beach, kigamboni, kimara na goba Hawa ndio wengi japo Kuna location zingine zimetajwa.

Dah kweli Duniani umebadilika kipindi kile hizi hazikuwa sababu.
Mbunye inaliwa na walevi, mateja, wavuta bangi hiyo ni kujishushia heshima
 
Attachments

  • IMG-20260616-WA0023.jpg
    IMG-20260616-WA0023.jpg
    59.7 KB · Views: 23
Back
Top Bottom