Kuna binadamu wana moyo...

Mwanaume kuendelea kua na mwanamke uliomfuma aki cheat ni sawa na kukubali kushikwa tako

Je utakubali kuendelea kushikwa tako ?
 
kuna kitu kipo ndani ya pazia......usikute hata watoto sio wake.....
 
Mapenzi upofu na ukishapenda maovu huoni
Ukipenda tanguliza kichwa siyo moyo....mahusiano yanayo risk hadi afya yko hayo siyo mahusiano asee sa huyu jamaa kwa mwanmk wa namna hyo STIs n vingine ni nje nje tu
 
Mwanaume kuendelea kua na mwanamke uliomfuma aki cheat ni sawa na kukubali kushikwa tako

Je utakubali kuendelea kushikwa tako ?
Fact man...uvumilivu wa kihayawani Mimi huwa ni one step ahead we finish off...huu ujinga wa kumvumlia msaliti kila wakati kwa kosa moja..ila jamaa aliumbwa kwa ajili ya huyo bu dada Labda hahaaaa blaindinesi huhuhu
 
lakini si kwa upofu huo, unadhani mtu wa aina hiyo ataacha?
Mkuu hujawahi pigwa limbwata la kizunguzungu wima, yaani atatombwa mbele yako! na unawafulia nguo wewe omba mungu hivohivo yasikukute!
 
Tatizo
inaonesha mwanmke alikua amemtawala sana huyo jmaa kiac kua hana altenative ,,jmn mbona wapo weng sana hawa viumbe wako mpk walio tulia ,binafsi siwezi cheka na nyani
Sio kuwepo weng ila je? Nan umependaa awe wako wa maisha? Upendo wa kweli hauhesabu mabaya
 
nadhan huyo mwnamke hana tena sehemu za siri oooh😑😕
 
mimi sitakiwi kumiliki silaha yoyote,
 
Kuna dada namfaham yeye anamcheat mmewe wanaishi pamoja kabisa mme anajua ila hawezi kumuacha mwanamke mara kibao tu

Mwingine mkewe alikuwa anapenda wanaume mpaka siku moja akabakwa mmewe hajamuacha

Sijui kuna nini
 
Kuna dada namfaham yeye anamcheat mmewe wanaishi pamoja kabisa mme anajua ila hawezi kumuacha mwanamke mara kibao tu

Mwingine mkewe alikuwa anapenda wanaume mpaka siku moja akabakwa mmewe hajamuacha

Sijui kuna nini
hapo kuna shida pahala, unaeza kuta mume ndani parfomance zero hivo inabidi ampe uhuru mkewe ili kulinda ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…