Tman900
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 589
- 1,897
Kuna Binti, nilimpenda sana, ana Miaka 26, na Watoto watatu. Alileta sarakasi za Kila aiana mi nikachemka, Dem anawatoto watatu nilimpenda hivyo, hivyo.
Nilivyoona anazingua nikampiga Chini, mademu wako wengi Leo anapiga simu anashida anaomba asaidiwe.
Dharau kibao, Leo yeye wakua na shida na Nyodo zake zote alizonionyesha. Hawa Viumbe akili zao na Matendo yao. Itakushangaza.
Kiukweli Mwanamke ni kiumbe ambacho akijulikani kinataka Nini,