Kuna Binti, nilimpenda sana, ana Miaka 26, na Watoto watatu


Kama una uwezo unaweza kumsaidia halafu ukamuacha na maisha yake, msaada hauangalii status za ugomvi!
 
acha ufala wewe, yani unampenda mal*ya mwenye watoto 3? tena inawezekana ni wa baba tofauti. huyo sio mke bali ni MTAMBO wa kufyetua watoto.
 
acha ufala wewe, yani unampenda mal*ya mwenye watoto 3? tena inawezekana ni wa baba tofauti. huyo sio mke bali ni MTAMBO wa kufyetua watoto.
Kwel hiyo bint ni malaya mzoefu, ila nilijichanya Vibaya... Niliingia mazima.
 
Wewe ni yule mwanaume ambaye wanawake tunawasikia wakisema "pamoja na umalaya wangu lkn siwezi kuwa na mtu kama yule"
 
Daah, aisee, three kids na Bado ukadata... Nature iepushie mbali.
 
Msaidie tuu mkuu,yaliyopita si ndwele unahisi kwanini hakumwambia mtu mwingine bali akakuambia wewe??
 
Mimi nikadhani kuwa alikuringia kitambo hicho hakiwa hana mtoto sasa ndio amerudi kwako akiwa na watoto,kumbe sikukuelewa, anyway wacha nisichangie chocolate
 
Huyo sio binti ni mkolechi ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Acha uongo. Eti binti! Huyo ni mumama na inaonekana bado unamzimikia. Alikukataa. Lm ulimpiga chini sasa unalalamika nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ