πππUtakuta anasoma sekondari huyo halafu unahangaika nae. Siutongoze wazee wenzako boss.
"Yani binti nimekuzidi umri, urefu, elimu, exposure, pesa, halafu ukiniona unanikimbia?"Kuna binti nlimwonesha dalili ya kumtaka Kimapenzi, ila sikumtongoza direct, kaishia kunitangaza kwa rafiki zake kuwa namtaka, Hajawahi kunikosea chochote na mm sijawahi kumkosea chochote, nashangaa sahiv tukikutana anabadilisha njia tusionane, au saa ingine akiniona anakimbia kabisa..Yani Nlivvoona ananikimbia nikaona akili hana kabisa Yani kichwani yuko sifuri..kapishana na gari la mshahara
Kuna Baadhi ya wadada hawana akili kabisa.
Nilitaka niulize umri nikakumbuka kuna kipengele kingine cha kujitambua[emoji23][emoji23] nikaona nikaushe tu.Utakuta anasoma sekondari huyo halafu unahangaika nae. Siutongoze wazee wenzako boss.
Sikiliza vizuri huu wimbo wa DDC Mlimani Park.Kuna binti nlimwonesha dalili ya kumtaka Kimapenzi, ila sikumtongoza direct, kaishia kunitangaza kwa rafiki zake kuwa namtaka, Hajawahi kunikosea chochote na mm sijawahi kumkosea chochote, nashangaa sahiv tukikutana anabadilisha njia tusionane, au saa ingine akiniona anakimbia kabisa..Yani Nlivvoona ananikimbia nikaona akili hana kabisa Yani kichwani yuko sifuri..kapishana na gari la mshahara
Kuna Baadhi ya wadada hawana akili kabisa.
Umemaliza!!Ukiwa mjanja hiyo ni promo amekupa kwa hao marafiki zake.
Kamata rafiki mmoja hapo piga kiwazenza.
NB:
Changua asiyevutia kuliko wote kwenye hicho kikundi chao
Ni kweli lakin siyo kwa wanawake wakibongo uki watongoza Wana angalia ume vaaje je ume pendeza na shida zao Uta weza kuzitatua, Wana tabia ya kuuliza je utaweza kuni hudumiaInafurahsha sanaaa et "nmekuzd umr mara urefu mara elim mara pesa" inaskitsha sana wanaume weng wanahs kuwa na hvyo vtu ndo kutokukataliwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mapenz n zaid ya hvyo
Nimecheka kwa sauti!!Kwa uandishi huu huyo binti ameona mbali Sana kufanya uamuzi alioufanya.....
Uandishi wako unakuonyesha kabisa kuwa ni mwanaume wa aina gani............