kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,511
- 4,369
Ungemwambia 'karma is a fvcking bitch' na kumkumbusha figisu zake ukimaliza na 'kikowapi sasa', tell him/her the obviously painful truth ndiyo itakuwa permanent cure kwako kwa yale aliyokufanyia na pia itakuwa umemuelimisha kuwa katika maisha tunahitajiana.Wakuu, kwenye haya maisha bana kuna changamoto nyingi sana.
Kipindi flani kama miaka 4 nyuma huko nilikua nafanya kazi kampuni flani,basi bana nadhani yule boss damu zetu hazikuendana,akanifanyia figisu nikafukuzwa kazi.maisha yakaendelea nikapata ramani kwenye kampuni nyingine, sasa yule boss aliyenifanyia figisu kumbe nae alikuja kupigwa chini baadae,so juzi hapa kwenye kampuni niliyoko wametangaza nafasi flani za seniors, jamaa naona kanicheck kuniomba eti connection,binafsi nimemjibu tu sina connection yoyote aombe tu na amtangulize Mungu mbele ingawa kiuhalisia hiyo nafasi iko na mhindi tayari.
Tusifanyiane roho mbaya kwenye hizi kazi za watu jamani.
Yote maisha mwamba usikunje roho wala nini usiwe kama ccmWakuu, kwenye haya maisha bana kuna changamoto nyingi sana.
Kipindi flani kama miaka 4 nyuma huko nilikua nafanya kazi kampuni flani,basi bana nadhani yule boss damu zetu hazikuendana,akanifanyia figisu nikafukuzwa kazi.maisha yakaendelea nikapata ramani kwenye kampuni nyingine, sasa yule boss aliyenifanyia figisu kumbe nae alikuja kupigwa chini baadae,so juzi hapa kwenye kampuni niliyoko wametangaza nafasi flani za seniors, jamaa naona kanicheck kuniomba eti connection,binafsi nimemjibu tu sina connection yoyote aombe tu na amtangulize Mungu mbele ingawa kiuhalisia hiyo nafasi iko na mhindi tayari.
Tusifanyiane roho mbaya kwenye hizi kazi za watu jamani.
Ungemwambia 'karma is a fvcking bitch' na kumkumbusha figisu zake ukimaliza na 'kikowapi sasa', tell him/her the obviously painful truth ndiyo itakuwa permanent cure kwako kwa yale aliyokufanyia na pia itakuwa umemuelimisha kuwa katika maisha tunahitajiana.
Wahenga walinena 'scratch my back and I'll scratch yours'.
Tujitahidi kuishi maisha mazuri na wenzetu,hii ni kwa wote maboss na wanaoongozwa.Wakuu, kwenye haya maisha bana kuna changamoto nyingi sana.
Kipindi flani kama miaka 4 nyuma huko nilikua nafanya kazi kampuni flani,basi bana nadhani yule boss damu zetu hazikuendana,akanifanyia figisu nikafukuzwa kazi.maisha yakaendelea nikapata ramani kwenye kampuni nyingine, sasa yule boss aliyenifanyia figisu kumbe nae alikuja kupigwa chini baadae,so juzi hapa kwenye kampuni niliyoko wametangaza nafasi flani za seniors, jamaa naona kanicheck kuniomba eti connection,binafsi nimemjibu tu sina connection yoyote aombe tu na amtangulize Mungu mbele ingawa kiuhalisia hiyo nafasi iko na mhindi tayari.
Tusifanyiane roho mbaya kwenye hizi kazi za watu jamani.
Binadamu ndo walivyo mkuu, hujifanya wako sahihi na Kila mara huonewa.Hata kama wewe ndo ulizingua huwezi kusema