Kuna boss wangu wa zamani aliwahi kunifukuza kazi, leo kanicheck kuniomba connection

Mi namshukuru boss wangu mtu muungwana sana na Ijumaa katugawia mchele ,mafuta na tambi hapa leo homu leo lazima kiwake pilau kidogo kisamvu kingi mnoo🤣🤣.Pamoja na utu uzima wake ila anapiga vibumbu hadi sio poa( ndio tatizo lake).Long live Senior.
 
Katika hatua uloifikia ni kutokana na changamoto uloipata. Hivyo kukufukuza wewe ndo sababu ya wewe kuwa hapo.

Hiyo chuki usiiendeleze ungemwitikia vizuri alafu ikitokea kuipata mwiite siku mmoja mpe makavu yake then tusonge mbele.. Kisasi unachokiweka hata wewe sio kizuri.

Nakumbuka nikiwa chuo niliwahi pitia changamoto kubwa mno ya kukosa mkopo ilhali wazazi hawana uwezo na sina kitu. Niseme tuu ukweli nilitesaka mno ila leo ukiniuliza nitakujibu nashukuru sana kwani kupitia pale walinifunza maisha.

Yaezekana ungekuwa kwenye ofisi ya mwanzo ungekuwa labda na hali kama yake pia.
True mfano diamond angelelewa na wazazi wake wawili kama wengine akasoma na kupata ajira Leo angekuwa mtumishi fulani mchovu tu.
Kwe life Pana kanuni inaitwa cause and effect
 
Mi namshukuru boss wangu mtu muungwana sana na Ijumaa katugawia mchele ,mafuta na tambi hapa leo homu leo lazima kiwake pilau kidogo kisamvu kingi mnoo🤣🤣.Pamoja na utu uzima wake ila anapiga vibumbu hadi sio poa( ndio tatizo lake).Long live Senior.
Hakui au aliruka stage umri wote huo Bado anajitia nuksi tu
 
Kama ana hatia kitendo cha kukutafuta kukuomba msaada ni adhabu kwake.

Ila ni hadithi ya upande mmoja. Huenda naye akiusemea upande wake mtazamo ukabadilika kabisa.
 
Kwa nn ufukuzwe kazi, ni either ulikua hautimizi majukumu yako ipasavyo na yeye kakuumbua ukweli ukajulikana au vice-versa is true.

Cha msingi na sekondari, tutimize wajibu wetu makazini. Nyie mnaoongozwa hua ni watu wagumu na wasumbufu sana of which mnataka makosa yen yafunikwe.
 
Wakuu, kwenye haya maisha bana kuna changamoto nyingi sana.
Kipindi flani kama miaka 4 nyuma huko nilikua nafanya kazi kampuni flani,basi bana nadhani yule boss damu zetu hazikuendana,akanifanyia figisu nikafukuzwa kazi.maisha yakaendelea nikapata ramani kwenye kampuni nyingine, sasa yule boss aliyenifanyia figisu kumbe nae alikuja kupigwa chini baadae,so juzi hapa kwenye kampuni niliyoko wametangaza nafasi flani za seniors, jamaa naona kanicheck kuniomba eti connection,binafsi nimemjibu tu sina connection yoyote aombe tu na amtangulize Mungu mbele ingawa kiuhalisia hiyo nafasi iko na mhindi tayari.
Tusifanyiane roho mbaya kwenye hizi kazi za watu jamani.
Mimi Leo amenitakia heri ya Eid Mubarak.....nikamuitikia TU.."heri na kwako pia"..

***maisha ni fumbo ambalo hatulijui hakika....
 
Wakuu, kwenye haya maisha bana kuna changamoto nyingi sana.
Kipindi flani kama miaka 4 nyuma huko nilikua nafanya kazi kampuni flani,basi bana nadhani yule boss damu zetu hazikuendana,akanifanyia figisu nikafukuzwa kazi.maisha yakaendelea nikapata ramani kwenye kampuni nyingine, sasa yule boss aliyenifanyia figisu kumbe nae alikuja kupigwa chini baadae,so juzi hapa kwenye kampuni niliyoko wametangaza nafasi flani za seniors, jamaa naona kanicheck kuniomba eti connection,binafsi nimemjibu tu sina connection yoyote aombe tu na amtangulize Mungu mbele ingawa kiuhalisia hiyo nafasi iko na mhindi tayari.
Tusifanyiane roho mbaya kwenye hizi kazi za watu jamani.
Mpe koneksioo.Usilipize baya kwa bovu.
 
Hujafanya poa, unaendeleza kisasi, ungekunjua Moyo tu maisha yaendelee, visasi havijengi!!
 
Back
Top Bottom