Kuna boss wangu wa zamani aliwahi kunifukuza kazi, leo kanicheck kuniomba connection

Mi namshukuru boss wangu mtu muungwana sana na Ijumaa katugawia mchele ,mafuta na tambi hapa leo homu leo lazima kiwake pilau kidogo kisamvu kingi mnoo🤣🤣.Pamoja na utu uzima wake ila anapiga vibumbu hadi sio poa( ndio tatizo lake).Long live Senior.
 
True mfano diamond angelelewa na wazazi wake wawili kama wengine akasoma na kupata ajira Leo angekuwa mtumishi fulani mchovu tu.
Kwe life Pana kanuni inaitwa cause and effect
 
Hakui au aliruka stage umri wote huo Bado anajitia nuksi tu
 
Kama ana hatia kitendo cha kukutafuta kukuomba msaada ni adhabu kwake.

Ila ni hadithi ya upande mmoja. Huenda naye akiusemea upande wake mtazamo ukabadilika kabisa.
 
Kwa nn ufukuzwe kazi, ni either ulikua hautimizi majukumu yako ipasavyo na yeye kakuumbua ukweli ukajulikana au vice-versa is true.

Cha msingi na sekondari, tutimize wajibu wetu makazini. Nyie mnaoongozwa hua ni watu wagumu na wasumbufu sana of which mnataka makosa yen yafunikwe.
 
Mimi Leo amenitakia heri ya Eid Mubarak.....nikamuitikia TU.."heri na kwako pia"..

***maisha ni fumbo ambalo hatulijui hakika....
 
Mpe koneksioo.Usilipize baya kwa bovu.
 
Hujafanya poa, unaendeleza kisasi, ungekunjua Moyo tu maisha yaendelee, visasi havijengi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…