Ni ukweli mtu, ila Ni ngumu sana kwa walio wengi kuweza kukuelewa.aina hii ya ulaji ni aina yakimasikin na inawatesa watu wengi sana dunian.
Kipi kifanyike ili kuwasidia?Siku moja nikiwa kariakoo niliona jambo lakustaajabisha sana. Nilikuta kundi la boda boda wana miili mikubwa kushinda hata ukubwa wa TVS walikuwa nazo ndipo nikajiulizw why wana miili mikubwa kama majitu? Na haya ndiomajibu
Watu tuna kula sana kuliko tunavyo wekeza yes wengi ya bodaboda wanatoka familia tofauti na pindi wanapo pata pesa mara nyingi hula pasipo mpango akiona kuku kala akiona juice kanywa akiona dagaa kala akiona energ drink kanywa pipi kala akiona ndizi lete yani anakula kula tu na mwisho baadae anapata zege na kuku aina hii ya ulaji ni aina yakimasikin na inawatesa watu wengi sana dunian.
Alichokwambia nimewahi kuambiwa pia.Baba alishawahi kuniambia chakula hakimalizi hela ila pombe na wanawake ndio humaliza hela.
Ukiona kama chakula kinamaliza hela yako basi ujue wewe huna hela.
Mkuu waache wale.
Kwani Bill Lugano a.k.a Kiduku Lilo anasemaje kuhusu kulaSiku moja nikiwa Kariakoo niliona jambo lakustaajabisha sana. Nilikuta kundi la boda boda wana miili mikubwa kushinda hata ukubwa wa TVS walikuwa nazo ndipo nikajiulizw why wana miili mikubwa kama majitu?
Na haya ndio majibu
Watu tuna kula sana kuliko tunavyo wekeza yes wengi ya bodaboda wanatoka familia tofauti na pindi wanapo pata pesa mara nyingi hula pasipo mpango akiona kuku kala akiona juice kanywa akiona dagaa kala akiona energ drink kanywa pipi kala akiona ndizi lete yani anakula kula tu na mwisho baadae anapata zege na kuku aina hii ya ulaji ni aina yakimasikin na inawatesa watu wengi sana dunian.
Swadakta hata mara tano inawezekanaMambo yao waachie wenyewe...
Watu ambao hawana stress na wanauhakika na milo yote mitatu kwa siku ni waendesha Uber, Boda boda , Makondoka na madereva wao...
Kwahiyo wewe jamaa ulishiriki kwenye mauaji ya Ben saanane, Walah Allah atakulipa adhabu Kali sana mbwa wewe.Siku moja nikiwa Kariakoo niliona jambo la kustaajabisha sana. Nilikuta kundi la boda boda wana miili mikubwa kushinda hata ukubwa wa TVS walikuwa nazo ndipo nikajiulizw why wana miili mikubwa kama majitu?
Na haya ndio majibu
Watu tuna kula sana kuliko tunavyo wekeza yes wengi ya bodaboda wanatoka familia tofauti na pindi wanapo pata pesa mara nyingi hula pasipo mpango akiona kuku kala akiona juice kanywa akiona dagaa kala akiona energ drink kanywa pipi kala akiona ndizi lete yani anakula kula tu na mwisho baadae anapata zege na kuku aina hii ya ulaji ni aina yakimasikin na inawatesa watu wengi sana duniani.