LGE2024 Kuna chama hapa nchini kinahaha wakati tunaelekea kwenye Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa!

LGE2024 Kuna chama hapa nchini kinahaha wakati tunaelekea kwenye Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Juzi nimepigiwa simu na jirani yangu akiniomba nitaje jina langu liandikwe na CHAMA fulani ili niandikwe kwa watakaowapigia kura CHAMA hicho.

Binafsi nilimjibu kuwa mimi ni mtu mzima mwenye akili timamu kamwe sitarubuniwa.

Naona hicho CHAMA kinahaha naona wana hali ngumu kipindi hiki.
 
Juzi nimepigiwa simu na jirani yangu akiniomba nitaje jina langu liandikwe na CHAMA fulani ili niandikwe kwa watakaowapigia kura CHAMA hicho. Binafsi nilimjibu kuwa mimi ni mtu mzima mwenye akili timamu kamwe sitarubuniwa. Naona hicho CHAMA kinahaha naona wana hali ngumu kipindi hiki.
Thread tayari!
Bila picha Mkuu huu ni uzushi, upuuzwe🤣🤣🤣
 
Hivi sasa CCM wanaandikisha watu utadhani wanafanya sensa
 
Juzi nimepigiwa simu na jirani yangu akiniomba nitaje jina langu liandikwe na CHAMA fulani ili niandikwe kwa watakaowapigia kura CHAMA hicho.

Binafsi nilimjibu kuwa mimi ni mtu mzima mwenye akili timamu kamwe sitarubuniwa.

Naona hicho CHAMA kinahaha naona wana hali ngumu kipindi hiki.
Chadema ni kama RigGy tu wa Kenya, wanabweka bweka weeee, at the end of the time kumbe hawana numbers za kuwasave bana 🤣
 
Back
Top Bottom