Hata clouds wameanza kutangaza michezo hivi karibuni, nadhani ni sababu ya kifo cha master T, pengine na kusimama kwa ligi ya ndani, lkn sbb kubwa nadhani ni kuombolezaWatanzania wenzangu habari!
Nimekuwa kwa muda mrefu nikisikiliza radio tajwa hasa vipindi vya michezo na magazeti. Lakini hata hivyo siku za karibuni sisikii vipindi hivyo badala yake muda mwingi wanapiga muziki! Je kuna changamotot yoyote ya uandishi au maadili !
Naona hata EATV kuna vipindi wamevitoa hasa Friday night live na 5selektWatanzania wenzangu habari!