A
Napenda kuwasilisha changamoto ambayo imekuwa ikiwakabili baadhi ya watumishi wa umma wanaotafuta uhamisho kutoka taasisi moja kwenda nyingine kwa kufuata taratibu zilizowekwa.
Katika hali yangu, niliwasilisha maombi ya kuhamia katika taasisi niliyoona inafaa kulingana na mahitaji na mazingira yangu ya kazi. Baada ya maombi yangu kufanyiwa kazi, taasisi husika ilinijibu rasmi kwa barua ikinithibitishia kuwa nimekubaliwa kuhamia huko. Kitendo hicho kilinipa imani kuwa nafasi ipo na taasisi imejiridhisha kuhusu uwepo wa nafasi pamoja na uwezo wake wa kunipokea.
Hata hivyo, nilipoanza mchakato wa uhamisho kupitia mfumo wa e-Uhamisho, nilikumbana na ujumbe unaosema "Vacancy Not Budgeted", hali ambayo imeleta sintofahamu kubwa. Swali la msingi linalojitokeza ni kwamba, ikiwa taasisi inayonihitaji tayari imethibitisha uwepo wa nafasi na kunipa kibali cha kuhamia, ni kwa nini mfumo au mamlaka husika bado zinaonesha kuwa nafasi hiyo haijapangiwa bajeti?
Changamoto hii imekuwa ikiwakatisha tamaa watumishi wengi ambao tayari wamekidhi vigezo vya kuhamishwa na wamepata ridhaa kutoka taasisi zinazowahitaji. Aidha, imekuwa ikichelewesha au kuzuia uhamisho ambao ungeweza kumsaidia mtumishi kufanya kazi kwa ufanisi zaidi na kutoa mchango mkubwa katika utumishi wa umma.
Kwa mujibu wa uelewa wa watumishi wengi, taasisi huwasilisha mahitaji na nafasi zinazotarajiwa kupokea watumishi kupitia uhamisho katika mipango yao ya rasilimali watu. Hivyo, kunapojitokeza hali ya nafasi zilizothibitishwa na taasisi kutopata idhini au kuonekana kama hazina bajeti katika mfumo, kunazua maswali na haja ya kupata ufafanuzi wa kina ili kuondoa mkanganyiko uliopo.
Kwa heshima kubwa, tunaomba mamlaka husika ziangalie kwa karibu changamoto hii na kutoa ufafanuzi au maboresho yatakayorahisisha utekelezaji wa uhamisho kwa watumishi wanaokidhi masharti. Hatua hiyo itasaidia kuongeza motisha, kuimarisha ustawi wa watumishi na hatimaye kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma kwa wananchi.
Mkuu weka pembeni hiyo e-uhamisho Peleka hardcopy tu ofisi husika baada ya hapo utaweka sawa kwenye huo mfumo.
Kuna zile uhamisho za kibabe mtu hajaomba kuhama lakini anakutana na barua ya KM-Utumishi eti kahamishwa kapelekwa Misungwi au Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi na Taasisi aliyotoka unakuta ni NSSF au PSSSF.
Kutoka Taasisi yenye Marupurupu hadi Halmashauri ya Tanganyika au Misungwi. Seriously???? Hawa Utumishi wanaojielewa kweli???? Yaani umtoe mtu kwenye Taasisi anayopata allowance kwa mwezi Milioni 2 hadi 3 umpelekee Halmashauri atakayopata Basic Salary peke yake.
Je, kama hizo allowances alizokuwa anapata NSSF au PSSSF au TANESCO Alikuwa amekopea, huo mkopo anaulipaje????
Michakato ya Serikali inahitaji uvumilivu, hivyo subra ni muhimu sana.. tofauti na hapo unaweza kupata pressure ya maishaKwa kifupi Utumishi ni janga lingine la Taifa kwa watumishi wa Umma, basi tu watumishi wanaamua kuvumilia tu.
AiseeMkuu weka pembeni hiyo e-uhamisho Peleka hardcopy tu ofisi husika baada ya hapo utaweka sawa kwenye huo mfumo.
Kuna zile uhamisho za kibabe mtu hajaomba kuhama lakini anakutana na barua ya KM-Utumishi eti kahamishwa kapelekwa Misungwi au Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi na Taasisi aliyotoka unakuta ni NSSF au PSSSF.
Kutoka Taasisi yenye Marupurupu hadi Halmashauri ya Tanganyika au Misungwi. Seriously???? Hawa Utumishi wanaojielewa kweli???? Yaani umtoe mtu kwenye Taasisi anayopata allowance kwa mwezi Milioni 2 hadi 3 umpelekee Halmashauri atakayopata Basic Salary peke yake.
Je, kama hizo allowances alizokuwa anapata NSSF au PSSSF au TANESCO Alikuwa amekopea, huo mkopo anaulipaje????
Upo sahihi mkuu.Michakato ya Serikali inahitaji uvumilivu, hivyo subra ni muhimu sana.. tofauti na hapo unaweza kupata pressure ya maisha
Aisee
pole sana,ila hao waliokupa barua,lazima wakuombee nafasi UTUMISHI,ndio wata create vacancyNapenda kuwasilisha changamoto ambayo imekuwa ikiwakabili baadhi ya watumishi wa umma wanaotafuta uhamisho kutoka taasisi moja kwenda nyingine kwa kufuata taratibu zilizowekwa.
Katika hali yangu, niliwasilisha maombi ya kuhamia katika taasisi niliyoona inafaa kulingana na mahitaji na mazingira yangu ya kazi. Baada ya maombi yangu kufanyiwa kazi, taasisi husika ilinijibu rasmi kwa barua ikinithibitishia kuwa nimekubaliwa kuhamia huko. Kitendo hicho kilinipa imani kuwa nafasi ipo na taasisi imejiridhisha kuhusu uwepo wa nafasi pamoja na uwezo wake wa kunipokea.
Hata hivyo, nilipoanza mchakato wa uhamisho kupitia mfumo wa e-Uhamisho, nilikumbana na ujumbe unaosema "Vacancy Not Budgeted", hali ambayo imeleta sintofahamu kubwa. Swali la msingi linalojitokeza ni kwamba, ikiwa taasisi inayonihitaji tayari imethibitisha uwepo wa nafasi na kunipa kibali cha kuhamia, ni kwa nini mfumo au mamlaka husika bado zinaonesha kuwa nafasi hiyo haijapangiwa bajeti?
Changamoto hii imekuwa ikiwakatisha tamaa watumishi wengi ambao tayari wamekidhi vigezo vya kuhamishwa na wamepata ridhaa kutoka taasisi zinazowahitaji. Aidha, imekuwa ikichelewesha au kuzuia uhamisho ambao ungeweza kumsaidia mtumishi kufanya kazi kwa ufanisi zaidi na kutoa mchango mkubwa katika utumishi wa umma.
Kwa mujibu wa uelewa wa watumishi wengi, taasisi huwasilisha mahitaji na nafasi zinazotarajiwa kupokea watumishi kupitia uhamisho katika mipango yao ya rasilimali watu. Hivyo, kunapojitokeza hali ya nafasi zilizothibitishwa na taasisi kutopata idhini au kuonekana kama hazina bajeti katika mfumo, kunazua maswali na haja ya kupata ufafanuzi wa kina ili kuondoa mkanganyiko uliopo.
Kwa heshima kubwa, tunaomba mamlaka husika ziangalie kwa karibu changamoto hii na kutoa ufafanuzi au maboresho yatakayorahisisha utekelezaji wa uhamisho kwa watumishi wanaokidhi masharti. Hatua hiyo itasaidia kuongeza motisha, kuimarisha ustawi wa watumishi na hatimaye kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma kwa wananchi.
Mkuu, hii kama imekukuta wewe pole sana.Washenzi Sana Hawa Utumishi. Eti Utumishi Popote...hatujakataa hiyo Slogan lakini usinitoe kwenye Taasisi ninayolipwa Marupurupu (Allowances) za Kila Mwezi kiasi cha Milioni 2 - 3 na kunipeleka katika Taasisi za Umma ambazo unaishia kulipwa Basic Salary Tu.
Hii siyo Fair kwa Watumishi ndiyo mwanzo kwa watumishi kupata Stroke na Kufa Mapema
wamemtoa kvpMkuu, hii kama imekukuta wewe pole sana.
Bila shaka walifanya hivyo ili kucreate nafasi kwa mtu mwingine.
Fuatilia comments zake, utaona alichokiandika.wamemtoa kvp
Hii ilimkuta mdogo wangu allowances alikuwa anapata ya kutosha tu ghafla wakampeleka halmashauri liwale lindi ambapo alikuwa anapata basic salary pekee .Mkuu weka pembeni hiyo e-uhamisho Peleka hardcopy tu ofisi husika baada ya hapo utaweka sawa kwenye huo mfumo.
Kuna zile uhamisho za kibabe mtu hajaomba kuhama lakini anakutana na barua ya KM-Utumishi eti kahamishwa kapelekwa Misungwi au Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi na Taasisi aliyotoka unakuta ni NSSF au PSSSF.
Kutoka Taasisi yenye Marupurupu hadi Halmashauri ya Tanganyika au Misungwi. Seriously???? Hawa Utumishi wanaojielewa kweli???? Yaani umtoe mtu kwenye Taasisi anayopata allowance kwa mwezi Milioni 2 hadi 3 umpelekee Halmashauri atakayopata Basic Salary peke yake.
Je, kama hizo allowances alizokuwa anapata NSSF au PSSSF au TANESCO Alikuwa amekopea, huo mkopo anaulipaje????
Inauma sana , watu wengi wamehamishwa kutoka taasisi kubwa kwenda ndogo tena unapelekwa porini , unaenda huku hata pesa uhamisho unaanza kufuatilia .Hii ilimkuta mdogo wangu allowances alikuwa anapata ya kutosha tu ghafla wakampeleka halmashauri liwale lindi ambapo alikuwa anapata basic salary pekee .
Matokeo yake dogo kawa mtoro vibaya mno.
sawa kiongoziFuatilia comments zake, utaona alichokiandika.