kipenseli2021
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 2,181
- 1,988
pole
🤝🤝sawa kiongozi
Hii ilimkuta mdogo wangu allowances alikuwa anapata ya kutosha tu ghafla wakampeleka halmashauri liwale lindi ambapo alikuwa anapata basic salary pekee .
Matokeo yake dogo kawa mtoro vibaya mno.
Mkuu, hii kama imekukuta wewe pole sana.
Bila shaka walifanya hivyo ili kucreate nafasi kwa mtu mwingine.
wamemtoa kvp
poleBrother unatolewa kibabe yaani kinguvu kwa barua ya page 2 yenye saini ya KM-Utumishi.
Hawasemi wapi umekosea
Wanafanya hivyo makusudi ili kupachika watoto wa vigogo, watoto wa mjomba na mashangazipole