Tetesi: Kuna chuo fulani hapa Dar es Salaam kikubwa tu wameweka namba yangu ya simu kwenye matangazo yao ya biashara

Tetesi: Kuna chuo fulani hapa Dar es Salaam kikubwa tu wameweka namba yangu ya simu kwenye matangazo yao ya biashara

Kuna chuo fulani hapa dar kikubwa tu wameweka namba yangu ya simu kwenye matangazo yao ya biashara ya chuo hicho namimi sifanyi kazi wala sijawahi kusoma kwenye chuo hicho!

Sasa kifupi imekuwa ni kero mno kwangu kupokea simu za wateja wao wanaotaka kujiunga na chuo chao

Kisheria imekaaje hii? Nifanyeje maana haiishi siku sijapokea simu za wateja wao!
Anza kuwapiga hela hao wanaopiga simu. Kusanya afu 5 tu kwa kichwa
 
Back
Top Bottom