Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi ndio tupo kwenye mipango ya harusi, mtoto wetu wa kwanza tutamuita MMU, Wa pili chitchat. Jf oyeee!
mbayaaaaaa
.
Please, usimwambie Anti... MIsikutikisa kibiriti as suchNa wewe si tulikukataza kutikisa kibiriti? Siku hizi mume mjini hana tofauti na kijiwe cha mpiga kiwi. Porojo mwisho wa siku ofa za gahawa, kashata na sh 200 ya kupiga kiwi!
Utarudi mkoleni wewe mwali, ngoja niongee na aunt mkubwa
Kua na chembe ya love au la, sio the most importantUnaniangusha bhana,atakuwa aliona humjali ulipomwambia
"viishe",kwani ina maana mpaka sasa huna hata chembe za love juu yake?
think twice bhana unaniangusha