ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #21
Kaulize Nigeria na Angola Kwa nini wameshindwa kujenga refinery?Sijakuelewa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaulize Nigeria na Angola Kwa nini wameshindwa kujenga refinery?Sijakuelewa!
Mleta uzi anasema nchi za Africa zitumie hela za ndani kukamilisha mradi?! namuuliza, tutumie hela za ndani kujenga bomba litakalosafirisha crude oil nje ya east africa? Si upumbafu huo kaka. Na tukitaka kujenga refinery, kwanza hiyo hela tutatoa kwenye benki zipi? Unadhani mabeberu watatuchekea kwa kukata mrija wao? Yalikuwa maswali kwa mleta uzi. The rest kuhusu Niger delta, Angola, Libya nayajua vema sana.Kaulize Nigeria na Angola Kwa nini wameshindwa kujenga refinery?
Kabisa.Tanzania tuchukue fursa tuwekeze hapo 50/50 tule matunda pamoja na wayugandabona akili za kiafrika ni ziro kabisa? Hela za mavieiti zipo. Za kufanya uwekezaji hazipo...
itayumbisha masoko yao ya ukanda wa Africa ya bahari ya Hindi, upo sahii na hapa mvutano unasababishwa na hili kampuni la TOTAL la UFARANSA. Figisu zote zinaundwa na Hawa TOTALTanzania inategemea kusambaza gas Uganda na Kenya kupitia mifereji hiyo hiyo ya bomba la mafuta.
First world hawataki ona Uganda ina supply mafuta, wanajua kabisa hiyo hali itayumbisha masoko yao ya ukanda wa Africa ya bahari ya Hindi.
Nadhani bado ni best option Uganda na Tanzania kuanza mradi kwa fedha za ndani, hao mabeberu watajileta wenyewe tu huko mbele.
Tukiungana refinery inatengenezwa kabisa tena bila shida.Unachukua pesa unawekeza kusafirisha mafuta ghafi afu wanunuzi wakatae.
Kwanini Uganda asitafute pesa ajenge refinery ili auze mafuta hapa hapa East Afrika
Hawataki Nchi za Afrika Ziinuke kiuchumi Wala hakuna jipyaHivi mataifa ya magharibi wana interests gani na huu mradi wa hili bomba la mafuta?
Kuna siku natazama Video clip inaonyesha mabinti wa kizungu kama watatu hivi wanamzonga raisi wa ufaransa wakimbembeleza kuwa huu mradi wasiufadhili na pia wafanye jitihada usifanikiwe.
Naanza kususpect kuwa huu mradi inawezakana unahusisha Urusi na China.
Mataifa ya magharibi wakipinga jambo litazame mara mbili mbili.
Sasa hapo kwenye kuingana ndio shida ,kama Hadi Leo hii tumeshindwa kuungana kwenye sarafu Moja au biashara huria ndio itakuwa hiyo ya Mali?Tukiungana refinery inatengenezwa kabisa tena bila shida.
Kwamba Uganda ina mafuta kiasi gani hadi kuyumbisha?Tanzania inategemea kusambaza gas Uganda na Kenya kupitia mifereji hiyo hiyo ya bomba la mafuta.
First world hawataki ona Uganda ina supply mafuta, wanajua kabisa hiyo hali itayumbisha masoko yao ya ukanda wa Africa ya bahari ya Hindi.
Nadhani bado ni best option Uganda na Tanzania kuanza mradi kwa fedha za ndani, hao mabeberu watajileta wenyewe tu huko mbele.
Hii kazi ilikuwa anaimudu magufuri. Huyu mvaa kilemba hakuna analoweza kufanya zaidi ya kushake mikono na hao maharamia wa magharibi na kutuingiza katika vifungo vya mikataba haramu.Tanzania inategemea kusambaza gas Uganda na Kenya kupitia mifereji hiyo hiyo ya bomba la mafuta.
First world hawataki ona Uganda ina supply mafuta, wanajua kabisa hiyo hali itayumbisha masoko yao ya ukanda wa Africa ya bahari ya Hindi.
Nadhani bado ni best option Uganda na Tanzania kuanza mradi kwa fedha za ndani, hao mabeberu watajileta wenyewe tu huko mbele.
Kwanini tushindwe safisha yote? Mbona Dangote kajenga Refinery kubwa kuliko zote duniani? (Single Refinery)Kwenye component ya mradi Kuna refinery hiwezi kusafisha yote.
Unaogopa kuchonganishwa au unaogopa kuwa na viwanda ambavyo faida yake itanufaisha vizazi na vizazi vyetu.Kaka tutumie fedha za ndani kusafirisha crude oil nje ya nchi?! au tutumie fedha za ndani kuhakikisha Uganda na nchi nyingine kwa makubaliano kujenga viwanda vya kuchakata crude oil kupata bidhaa za mafuta?! Hii ya pili tukitoa tu wazo tunachonganishwa na kupigana vita au tutauliwa kwa njaa kwasababu ya vikwazo. Yakwanza itakuwa ni upumbafu.
Maana refinery ya hizo pipa 200,000 kwa siku haizidi trilioni 10Tukiungana refinery inatengenezwa kabisa tena bila shida.
So tufanyeje sasa, yaani tukae kimya tutazame tu mafuta yakiendelea kuibiwa na mataifa kharamu ya magharibi?Unajua gharama ya kujenga kiwanda Cha kuweza kusafisha hayo mafuta yote? Waulize Nigeria na Angola Kwa nini hawakujenga..
Kwa Sasa ndio Dangote kajenga,harafu mafuta ya Uganda yanakadiliwa kuisha ndani ya miaka 20 tuu labda DRC akubali kujiunga .
Mwisho Dunia inahama Sasa kutoka huko kwenye fossils kwenda kwenye clean Energy nalo ni tatizo jingine.
Ni private sector hiyo sio SerikaliKwanini tushindwe safisha yote? Mbona Dangote kajenga Refinery kubwa kuliko zote duniani? (Single Refinery)
Tutoe pesa yaende Nje,sioni haja ya kusafisha maana mafuta yenyewe sio mengi San kiwanda kitabaki iddle wakati kimetumia pesa kubwaSo tufanyeje sasa, yaani tukae kimya tutazame tu mafuta yakiendelea kuibiwa na mataifa kharamu ya magharibi?
Kaka, hujui hili lidunia linavyoendeshwa? Hadi Magu mwenyewe amekubali kutoa ardhi bomba lipite, crude iondoke ikanufaishe mabeberu. kwa kisingizio tutagawana mapato! yapi hayo?! mafuta yakishasafishwa kisha kuuziwa tena? bomba likianza hakuna ajira yoyote ya kustaajabisha kwa watanzania, wanavijiji wataliona tu. Libya, Niger Delta, Angola wanajuaUnaogopa kuchonganishwa au unaogopa kuwa na viwanda ambavyo faida yake itanufaisha vizazi na vizazi vyetu.
Kwani nchi hii kuna mradi wowote unaweza fanyika bila wajanja kupiga??Hofu yangu ni isijekuwa kuna majizi yameshaona fursa hapo, yanajipanga kwenda kuliingiza taifa kwenye hasara kubwa.
Kama tulivyopigwa enzi za jpm kwenye SGR na ununuzi wa ndege?Kwa aina ya uongozi tulionao Sasa tuhesabu tu kuwa tumepigwa.