Kuna dalili zozote za kuthibitisha ulimwengu umeumbwa na mbuni mkuu (intelligent designer) ?

Kuna dalili zozote za kuthibitisha ulimwengu umeumbwa na mbuni mkuu (intelligent designer) ?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Ukiangalia jinsi mfumo na muundo wa mwili wa binadamu ulivyo dhaifu na wenye changamoto nyingi hatarishi, kuna uthibitisho wowote kuumbwa na mbuni mkuu ?

Ulimwengu wenye matetemeko, Mafuriko, maporomokl El Nino, milipuko ya volcano n.k unathibitisha kuumbwa au kujiunda wenyewe?
 
Unamaanisha mbuni au mbunifu?

Kama ni mbunifu ni MUNGU mkuu, Na hayo mabalaa yalikuja baada ya mwanadamu kuanguka dhambini.
 
Unamaanisha mbuni au mbunifu?

Kama ni mbunifu ni MUNGU mkuu, Na hayo mabalaa yalikuja baada ya mwanadamu kuanguka dhambini.
Volcano zimekuwa zinalipuka kwa mamilioni ya miaka iliyopita, story za Adam na Hawa ni za miaka 4,000 tu iliyopita.
 
Ndio yupo, ukitaka thibitisha jaribu kuua Mijusi yote ndani ya nyumba yako. Baada ya week kadhaa utashangaa Mainzi, Mabuibui, Mavipepeo ya kila aina humo ndani Ndo utajua ahaa kumbe Mijusi nayo ina faida na hii mijusi kumbe Mungu aliweka ili inipunguzie ghadhabu.
 
Back
Top Bottom