Umeingia kwenye mtegoKwenye tezi za kike.
Volcano zimekuwa zinalipuka kwa mamilioni ya miaka iliyopita, story za Adam na Hawa ni za miaka 4,000 tu iliyopita.Unamaanisha mbuni au mbunifu?
Kama ni mbunifu ni MUNGU mkuu, Na hayo mabalaa yalikuja baada ya mwanadamu kuanguka dhambini.
Hahahahaaaaa mbona bado asubuh sana mkuuMimi huwa najiuliza yale maji maji (hydroxo) ambayo mwanamke hutoa wakati wa tendo huwa yanatoka wapi mwilini?
Umeshatoka ibadani? Au huwa unahubiri tu jf..Hahahahaaaaa mbona bado asubuh sana mkuu
Mamilion ya miaka ulikuwepo...Volcano zimekuwa zinalipuka kwa mamilioni ya miaka iliyopita, story za Adam na Hawa ni za miaka 4,000 tu iliyopita.
Hahahahaaaa hapana mkuu mimi nimemaliza jana....Umeshatoka ibadani? Au huwa unahubiri tu jf..
Nilikuwa kwenye viuno vya adamuUlikuwepo kwenye story za Nyoka akiongea na Hawa na Adam ??
Hahahahahaaaa refa amalize pambano ngoma droo!Na Mimi nilikuwa atoms kwenye ulimwengu.
Msabato gani unajichanganya hivi?Hahahahaaaa hapana mkuu mimi nimemaliza jana....