Kuna darasa tunaweza kujifunza kwa Japan kuelekea 2025

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Napenda siasa napenda democracy japo sidhani kama ni democracy.
Napenda siasa yenye mrengo wa kiuchumi na kiusalama wa Taifa.
Nimeona mabadiliko ktk serikali ya Japan nikatamani taifa langu lipate Kiongozi mwenye mirengo inafanana na Japan hasa ukizingatia dunia kwa sasa siasa ni usalama wa Taifa na uchumi.
israel wapo vitani ila wana serikali imejengwa ktk misingi ya democracy ila ktk mfumo wa kiusalama Rais au waziri mkuu lazima apikwe haswa natamani moja ya mageneral ktk mifumo ya usalama angewekwa ktk kiti cha Taifa hili Taifa halihitaji Chama linahitaji mfumo imara wakijeshi wenye viashiria vya democracy nje ya hapo Taifa hili siku moja litakuwa manamba ktk nchi yetu wenye IQ kubwa wanaweza kunielewa

View: https://m.youtube.com/watch?v=WhYJ9vb1s1E
 
Hapo inabidi ifanyike overhaul ya huu mfumo wetu uliokwama na kutuzalishia wasaka ukwasi na maslahi binafsi!
 
Uongozi ni Maono,hekima,busara,akili. Uongozi siyo suala la kuiga na kunyonya vitu kama dodoki.Japan siyo Tanzania na wala Tanzania siyo Japan. Tunatofautiana kwa vingi na Japan na hivyo hatuwezi kuwa sawa hata katika mifumo ya utawala na hata democrasia.lakini hata democrasia siyo kama cocacola kwamba lazima iwe sawa Dunia nzima.

Uongozi siyo suala la Ujenerali au ubrigedia wa kijeshi. Kwani Nchi Ngapi za Afrika zimewahi kuongozwa na watu hao baada ya mapinduzi na bado serikali zao zikatamalaki kwa Rushwa,ufisadi,wizi wa mali za umma , umaskini uliotopea na Mauaji ya wapinzani wao?

Uongozi siyo suala la kutumia nguvu au misuli ya Mwili.uongozi unahitaji kutumia akili na upeo wa juu ambao huu siyo lazima uwe jenerali au brigedia kuwa nao. Ni uzalendo tu.maana kuna watu hawajapitia Jeshini au kwenye mfumo wa vyombo vya ulinzi na usalama na ni wazalendo sana.lakini kuna watu wamepitia majeshini kuanzia Jkt na kufundishwa uzalendo kwa Taifa .lakini Mwisho wa siku wakaja kuhusika kwenye makashifa makubwa ya ufisadi,rushwa,kujilimbikizia mali za wizi na kushindwa kabisa kuleta matokeo Chanya.

Tunahitaji mtu atakaye heshimu katiba, mifumo,atakaye kuwa msikivu na mwenye kushaulika na atakaye jua namna ya kuteua wasaidizi na kuzungukwa na watu sahihi wazalendo,waadilifu, wachapakazi na wenye dhamira njema na Taifa.

Uongozi siyo suala la mimabavu,miguvu ,kutokushaurika,ujuaji. Hii siyo Dunia ya kutumia mimabavu na miguvu bali ni Dunia ya kutumia akili zaidi.

Kwa hiyo nakupinga kabisa kabisa na kwa asilimia zote wazo lako maana halina mantiki wala mashiko.
 
Usalama wa japan upo mikononi mwa marekani, usalama wa Israel upo mikononi mwa marekani.

Mifano ya kipuuzi yote hakuna cha kujifunza.
 
Demokrasi haifai , tubadilishe mfumo huu ndio itakuwa kazi kazi ...Tuanze kunyonga watu .
Ambacho hakifai ni hiki kidude cha kitapeli kinachojiita Chama cha Mapinduzi wakati hakijawahi kupindua hata kijiko. Hiki ndio kinasababisha tunashindwa kufaidi rasiliamali za taifa letu.

Mbuga za wageni wanajigawia wao na wajomba zao, bandari hali kadhalika na kwenye madini sasa ndio usiseme
 
Hakuna nchi ya demokrasia dunia katika vitendo labda kama hujui ...
 
Uongozi ni Maono,hekima,busara,akili. Uongozi siyo suala la kuiga na kunyonya vitu kama dodoki.Japan siyo Tanzania na wala Tanzania siyo Japan. Tunatofautiana kwa vingi na Japan na hivyo hatuwezi kuwa sawa hata katika mifumo ya utawala na hata democrasia.lakini hata democrasia siyo kama cocacola kwamba lazima iwe sawa Dunia nzima.

Uongozi siyo suala la Ujenerali au ubrigedia wa kijeshi. Kwani Nchi Ngapi za Afrika zimewahi kuongozwa na watu hao baada ya mapinduzi na bado serikali zao zikatamalaki kwa Rushwa,ufisadi,wizi wa mali za umma , umaskini uliotopea na Mauaji ya wapinzani wao?

Uongozi siyo suala la kutumia nguvu au misuli ya Mwili.uongozi unahitaji kutumia akili na upeo wa juu ambao huu siyo lazima uwe jenerali au brigedia kuwa nao. Ni uzalendo tu.maana kuna watu hawajapitia Jeshini au kwenye mfumo wa vyombo vya ulinzi na usalama na ni wazalendo sana.lakini kuna watu wamepitia majeshini kuanzia Jkt na kufundishwa uzalendo kwa Taifa .lakini Mwisho wa siku wakaja kuhusika kwenye makashifa makubwa ya ufisadi,rushwa,kujilimbikizia mali za wizi na kushindwa kabisa kuleta matokeo Chanya.

Tunahitaji mtu atakaye heshimu katiba, mifumo,atakaye kuwa msikivu na mwenye kushaulika na atakaye jua namna ya kuteua wasaidizi na kuzungukwa na watu sahihi wazalendo,waadilifu, wachapakazi na wenye dhamira njema na Taifa.

Uongozi siyo suala la mimabavu,miguvu ,kutokushaurika,ujuaji. Hii siyo Dunia ya kutumia mimabavu na miguvu bali ni Dunia ya kutumia akili zaidi.

Kwa hiyo nakupinga kabisa kabisa na kwa asilimia zote wazo lako maana halina mantiki wala mashiko.
Mkeka mrefu lakini hujaelewa mada!🤣🤣🤣
 
"Katiba ni kijitabu tu" - Rais Samia. Rais Samia aliitoa kauli hiyo kuashiria kuwa katiba si lolote wala si chochote.

Wewe unasema, kiongozi inabidi aheshimu katiba!! Huyu wa kwetu anayeona katiba haina maana, tumweke kundi gani?

Chawa huwa hatakiwi kwenda kinyume na kauli au vitendo vya anayemfanyia uchawa. Afanye vibaya au vizuri, chawa anatakiwa kuimba mapambio na kupiga vigelegele. Kauli yako hii, inaweza kukufanya ufukuzwe kwenye uchawa!! Umejipanga kwa maisha ya kujitegemea?
 
Mjomba Dunia ilipofika Siasa picha ya mbele nyuma mfumo mzima upo kijasusi na ikibidi huko kwenye siasa tujaze viumbe waliokufa kabla ya kufa.
 
"Katiba ni kijitabu tu" - Rais Samia. Rais Samia aliitoa kauli hiyo kuashiria kuwa katiba si lolote wala si chochote.

Wewe unasema, kiongozi inabidi aheshimu katiba!! Huyu wa kwetu anayeona katiba haina maana, tumweke kundi gani?

Chawa huwa hatakiwi kwenda kinyume na kauli au vitendo vya anayemfanyia uchawa. Afanye vibaya au vizuri, chawa anatakiwa kuimba mapambio na kupiga vigelegele. Kauli yako hii, inaweza kukufanya ufukuzwe kwenye uchawa!! Umejipanga kwa maisha ya kujitegemea?
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anaiheshimu sana katiba. na ndio maana anaongoza nchi yetu kwa mujibu wa katiba na kuzingatia suala zima la utawala bora na sheria.
 
Maneno yako hayana muunganiko na hoja.

Rais alisema kuwa watu waache kelele kuhusiana na katiba mpya, kwa sababu katiba ni "kijitabu tu". Wewe unakuja na ngonjera zisizo na kichwa wala miguu. Weka comments zako kuhusiana na kauli ya Rais.
 
Uongozi ni Maono,hekima,busara,akili. Uongozi siyo suala la kuiga na kunyonya vitu kama dodoki.Japan siyo Tanzania na wala Tanzania siyo Japan. Tunatofautiana kwa vingi na Japan na hivyo hatuwezi kuwa sawa hata katika mifumo ya utawala na hata democrasia.lakini hata democrasia siyo kama cocacola kwamba lazima iwe sawa Dunia nzima.

Uongozi siyo suala la Ujenerali au ubrigedia wa kijeshi. Kwani Nchi Ngapi za Afrika zimewahi kuongozwa na watu hao baada ya mapinduzi na bado serikali zao zikatamalaki kwa Rushwa,ufisadi,wizi wa mali za umma , umaskini uliotopea na Mauaji ya wapinzani wao?

Uongozi siyo suala la kutumia nguvu au misuli ya Mwili.uongozi unahitaji kutumia akili na upeo wa juu ambao huu siyo lazima uwe jenerali au brigedia kuwa nao. Ni uzalendo tu.maana kuna watu hawajapitia Jeshini au kwenye mfumo wa vyombo vya ulinzi na usalama na ni wazalendo sana.lakini kuna watu wamepitia majeshini kuanzia Jkt na kufundishwa uzalendo kwa Taifa .lakini Mwisho wa siku wakaja kuhusika kwenye makashifa makubwa ya ufisadi,rushwa,kujilimbikizia mali za wizi na kushindwa kabisa kuleta matokeo Chanya.

Tunahitaji mtu atakaye heshimu katiba, mifumo,atakaye kuwa msikivu na mwenye kushaulika na atakaye jua namna ya kuteua wasaidizi na kuzungukwa na watu sahihi wazalendo,waadilifu, wachapakazi na wenye dhamira njema na Taifa.

Uongozi siyo suala la mimabavu,miguvu ,kutokushaurika,ujuaji. Hii siyo Dunia ya kutumia mimabavu na miguvu bali ni Dunia ya kutumia akili zaidi.

Kwa hiyo nakupinga kabisa kabisa na kwa asilimia zote wazo lako maana halina mantiki wala mashiko.
Shukrani muda utatujibu sote wawili. No comment
 
Napenda siasa napenda democracy japo sidhani kama ni democracy.
Napenda siasa yenye mrengo wa kiuchumi na kiusalama wa Taifa.
Nimeona mabadiliko ktk serikali ya Japan nikatamani taifa langu lipate Kiongozi mwenye mirengo inafanana na Japan hasa ukizingatia dunia kwa sasa siasa ni usalama wa Taifa na uchumi.
israel wapo vitani ila wana serikali imejengwa ktk misingi ya democracy ila ktk mfumo wa kiusalama Rais au waziri mkuu lazima apikwe haswa natamani moja ya mageneral ktk mifumo ya usalama angewekwa ktk kiti cha Taifa hili Taifa halihitaji Chama linahitaji mfumo imara wakijeshi wenye viashiria vya democracy nje ya hapo Taifa hili siku moja litakuwa manamba ktk nchi yetu wenye IQ kubwa wanaweza kunielewa

View: https://m.youtube.com/watch?v=WhYJ9vb1s1E

Ni vitendo vya rushwa na upigaji ambavyo zilihusisha hata wale wabunge na viongozi wa juu wa serikali kila mahala kulikuwa ni upigaji tu na ndani ya chama tawala cha LDP hali ikawa tete.

Pesa za walipa kodi zilikuwa zikimwagwa kila mahala watu wakijipigia huku wananchi wakisota na maisha magumu, mfumuko mkali wa bei, uchumi uloyumba, bei ghali ya bidhaa na mishahara kutopanda.

Hivyo TAKUKURU ya kijapani ikaingia kazini watu wakaanza kuchunguzwa na wengi wamepatikana na fedha nyingi wameficha majumbani kwao na kwenye akaunti za benki kumetuna.

Wajapan hawajazoea hali hiyo nchi ambayo ni moja ya kundi la nchi 7 tajiri duniani yaani G7.

Suluhisho lake? Uchaguzi mkuu mpya wa haraka ili kubadili uongozi wa juu na kuwahakikishia wananchi wapiga kura kwamba viongozi wamejivua magamba ya rushwa na upigaji.

Lakini hata hivyo chama tawala kutokana na nguvu yake kifedha na rasilimali ilo nazo kimeshinda hiyo snap election huku chama cha upinzani cha CDP kama Chadema kimeshindwa kukiondoa chama hicho cha LDP madarakani kwa njia ya kura.

Hata hivyo LDP kimepoteza uwingi wa viti bungeni na hivyo kuwalazimu kufanya kazi pamoja na chama cha CDP na vyama vingine bila kuwa na maamuzi ya moja kwa moja na huo ndo utakuwa udhaifu wake.

Hivyo cha kujifunza hapo ni kwamba:

1. wapiga kura wamewezaje kulazimisha kuitishwa uchaguzi mkuu wa snap election.

2. Njia ipi sahihi ya kukiadabisha chama tawala ambacho kwa makusudi kimeamua kuwafanya wananchi wake wafilisike kisiasa wawaze mpira tu wa Simba na Yanga masaa 24/7.
 
Back
Top Bottom