Kuna dawa kweli ya kuongeza makalio au ni dhihaka kwa wadada?

Mrs Van dawa ikipatikana hapa nakununulia
 
Mbona hueleweki wewe! Unataka chura au mguu wa bia??!!
 
Unataka mguu mnene inasemekana lakini..mafuta ya nazi ya parachute yale og yananenepesha miguu
 
Haaa haaaa! Unatafuta dawa kijanja eeeh? Uko tayari kulea kansa?
 
Makalio makubwa kwa wanawake ni ya mafuta hasa yale ndembendebe na wachache misuli mikubwa,dawa za kuongeza misuli ni za kuchoma na hazichagui tako tu,rejea watunisha misuli,kwa upande wa makalio yenye mafuta/fat nyingi unaweza kuongeza kwa kuwekewa kipandikizi chenye umbo la namna unatata tako lionekane,hata mayiyi huongezwa kwa njia hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…