Kuna dawa kweli ya kuongeza makalio au ni dhihaka kwa wadada?

Kuna dawa kweli ya kuongeza makalio au ni dhihaka kwa wadada?

Mbona hueleweki wewe! Unataka chura au mguu wa bia??!!
 
Unataka mguu mnene inasemekana lakini..mafuta ya nazi ya parachute yale og yananenepesha miguu
 
Hivi ni kweli kuna dawa za kuongeza makalio? Au ni dhihaka tu kwa wadada?

Leo tumalize huu upuuzi, kama kuna dawa ya kuongeza makalio iwekeni hapa tujue.

Lengo ni kujua kama ninaweza kui apply kwenye miguu yangu niwe na miguu ya bia, 😀😛
Haaa haaaa! Unatafuta dawa kijanja eeeh? Uko tayari kulea kansa?
 
Hivi ni kweli kuna dawa za kuongeza makalio? Au ni dhihaka tu kwa wadada?

Leo tumalize huu upuuzi, kama kuna dawa ya kuongeza makalio iwekeni hapa tujue.

Lengo ni kujua kama ninaweza kui apply kwenye miguu yangu niwe na miguu ya bia, 😀😛
Makalio makubwa kwa wanawake ni ya mafuta hasa yale ndembendebe na wachache misuli mikubwa,dawa za kuongeza misuli ni za kuchoma na hazichagui tako tu,rejea watunisha misuli,kwa upande wa makalio yenye mafuta/fat nyingi unaweza kuongeza kwa kuwekewa kipandikizi chenye umbo la namna unatata tako lionekane,hata mayiyi huongezwa kwa njia hii
 
Back
Top Bottom