[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unataka kuwa na chura eeeh!
Nilikutana na dogo amemaliza form 4 kaletwa dar kusoma kakutana na marafiki chuo akapata dawa ya kunenepesha miguu kila cku ucku anajipaka akilala ckutaka kuingilia nikaubanaHivi ni kweli kuna dawa za kuongeza makalio? Au ni dhihaka tu kwa wadada?
Leo tumalize huu upuuzi, kama kuna dawa ya kuongeza makalio iwekeni hapa tujue.
Lengo ni kujua kama ninaweza kui apply kwenye miguu yangu niwe na miguu ya bia, ππ
Hivi ni kweli kuna dawa za kuongeza makalio? Au ni dhihaka tu kwa wadada?
Leo tumalize huu upuuzi, kama kuna dawa ya kuongeza makalio iwekeni hapa tujue.
Lengo ni kujua kama ninaweza kui apply kwenye miguu yangu niwe na miguu ya bia, ππ
Naona mzee unavizia matukio kama haya ???Hubby ndo kakwambia anataka guu la bia?
Teh teh.. Hapana braza.. Nipo nashangaa ya duniaNaona mzee unavizia matukio kama haya ???
Teh teh teh teh Braza bwana.!
Braza huwa unaviziaga vitu vizuri vizuriTeh teh.. Hapana braza.. Nipo nashangaa ya dunia
Kila mtu anapenda vitu vizuri braza. tehBraza huwa unaviziaga vitu vizuri vizuri
Naaam, Naaam, Naaaam........!Kila mtu anapenda vitu vizuri braza. teh
Teh teh..Na miguu uendana na chura..Ukiona fito zimebeba mzigo ujue huo ni wa kununua dukaniNaaam, Naaam, Naaaam........!
Hasa vyenye miguu mizuri.....teh!
πππ
Bwahahahaha, brazah unachunguza balaa!Teh teh..Na miguu uendana na chura..Ukiona fito zimebeba mzigo ujue huo ni wa kununua dukani