Kuna dawa kweli ya kuongeza makalio au ni dhihaka kwa wadada?

Kuna dawa kweli ya kuongeza makalio au ni dhihaka kwa wadada?

Unataka uongeze u mabanda ya uwani ?
 
Kunenepeshaje Miguu? Kwani haujasema chura?
Umetuona sisi ni punguani?
Tunayo ile yakukuza papa. Unaitaka?
 
images (10).jpeg
images (3).jpeg
images (6).jpeg
images (5).jpeg
Akuna Dawa ya kupaka ya kukuza makalio.ni usanii mtupu...Matiti,Makalio,hipps,n.k yanaongezwa kwa kujaza madawa,human fats(plastic surgery) India,Ulaya na Kwingineko..pamoja na South Africa
 
Hivi ni kweli kuna dawa za kuongeza makalio? Au ni dhihaka tu kwa wadada?

Leo tumalize huu upuuzi, kama kuna dawa ya kuongeza makalio iwekeni hapa tujue.

Lengo ni kujua kama ninaweza kui apply kwenye miguu yangu niwe na miguu ya bia, 😀😛
Nilikutana na dogo amemaliza form 4 kaletwa dar kusoma kakutana na marafiki chuo akapata dawa ya kunenepesha miguu kila cku ucku anajipaka akilala ckutaka kuingilia nikaubana
 
ingia fb andika Shape Shape utamuona mrembo wa umbo zuri gauni jekundu huyu anauza dawa kama hizo naonaga post zake tu sijawahi fatilia bei.
 
Back
Top Bottom