Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dawa ni kuacha tu!Habari wakubwa hivi kuna Dawa au njia nzuri ya kuacha mtaumizi ya pombe
Shukran
Acha tu Mkuu usinywe Tena Cc ephen_Sasa unaachaje sasa
Mungu mwenyew amewezesha uwepo wa pombe kuwepo!!Muombe Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi lakini jiepushe pia maeneo yenye vilevi na yote hatarishi.
Ulipo Anza kunywa,ulishawishiwa au uliamua mwenyewe kunywa?Habari wakubwa hivi kuna Dawa au njia nzuri ya kuacha mtaumizi ya pombe
Shukran
Naunga mkono hojaLast months kule Sumbawanga jamaa 3 walikufa baada ya mganga kutengeneza dawa ili waache pombe... Be careful bro
Ila siwaliacha pombe? Au bado wanakunywa?ILast months kule Sumbawanga jamaa 3 walikufa baada ya mganga kutengeneza dawa ili waache pombe... Be careful bro
Dhamira ilitimiaIla siwaliacha pombe? Au bado waanakunywa?
Pombe ni chungu? Ndio nasikia leo kwako🙄Acha tu....na zilivyochungu....mbona unaacha kirahisi tu
Mi siziwezi Bora winePombe ni chungu? Ndio nasikia leo kwako🙄