Kuna dawa ya kuacha Pombe?

Ni Aya gani inaruhusu
Mwanzo 27:28,
2Nyakati2:10,2:15
Mithali 21:17

Mhubiri 9:7 Nenda ukale chakula chako kwa furaha, ukanywe na divai yako kwa moyo mchangamfu, maana Mungu amekwisha ikubali kazi yako. Vaa vizuri, jipake mafuta kichwani. Furahia maisha pamoja na mke wako umpendaye muda wote wa maisha yako ya bure ambayo Mungu amekujalia hapa duniani; maana hilo ndilo ulilopangiwa maishani, katika kazi zako hapa duniani


Vivyo hivyo mashemasi na wawe wastahivu; si wenye kauli mbili, si watu wa kutumia mvinyo sana, si watu wanaotamani fedha ya aibu 1Timotheo 3:8{ hapa elewa neno lililo tumika "si watu wakutumia mvinyo sana" manake wakitumia kidogo sio kosa ama kwa kifupi wasiwe walevi bali wanywaji}

soma pia 1timotheo 5:23

Torati 14:26 na zile fedha zitumie kwa chochote itakachotamani roho yako, ng'ombe, au kondoo, au divai, au kileo, au roho yako itakacho kwako chochote; nawe utakula huko mbele za BWANA, Mungu wako; tena furahi, wewe na nyumba yako

HIZI NI BAADHI TU YA AYA NAOMBA KWAKO ZINAZO KATAZA POMBE{ MVINYO,DIVAI NA KILEO}
 
Kuna kunywa for recreational purpose yaan enjoyment & refreshment una piga zako Smirnoff black ace mbili tatu au Hanson choice KIASI e.t.c

Siku zoteee huwa nawa ambiaga watu POMBE sio tatizo tatizo Ni mtumiaji mwenyewe

Unatakiwa uwe na scale ⚖️ ku balance ♎ unywaji wako Mbona wazungu wengi wanatumia mvinyo na hauwezi Kuta wanafanya Mambo ya ajab ajab

NB: To much of everything is Harmful ✍️
 
Umenikumbusha sana Buddhist Temple na Rev. Pannasekara pale Upanga.

Kazi ya kutafsiri Dhamapada kwenda Kiswahili iliisha?
 
Kuacha sio rahisi, niko na ngaut wangu, naona pombe inamuendesha, amekuwa mtumwa wa pombe, hawezi kujitawala wala kuamua kuwa leo nakunywa, leo sinywi, akiamka tu anachowaza ni Kvant yake ndogo kwenye gari ndio maisha yaanze siku hiyo. Kifupi yeye sasa ni mraibu, very sad.

Maisha yanahitaji kiasi, wengi tunakunywa, ila ukishindwa kuiambia nafsi yako, ukishindwa kujitawala, pombe ni mbaya sana, inakutoa kwenye mfumo, unakuwa kituko mbele za jamii. Mwenzangu familia inataka kumkimbia kisa pombe, watoto wanalia kisa baba kawa chapombe, sad!
 
Kuacha pombe, labda uwe na matatizo ya kiafya na ukashauriwa na daktari, unaweza acha kwa kujitesa, au kuingia maagano ya kishirikina, au uchumi wako umetetereka; tofauti na hapo ni ngumu kuacha.
Pampula
 
Usikose kuwatembekea wamasai, kama wana dawa ya kuzuia simba asiingie kwenye zizi na kudhuru mifugo yao itakuwa hiyo dawa ndogo kabsa au omba uugue vidoda vya tumbo.
 
Acha tungi ni hasara!
anza kuvuta Ganja utakuja kunishukuru baadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…