Habarini wadau,
Shikamooni wakubw,,
Naombeni ushauri kwenu kuhusu hili tatizo langu,mwenzenu napenda kula kupita maelezo sasa hili tatizo linaniboa pia linanisikitisha ki afya....maanake sometimes nakua mvivu nikishiba sana .....napenda nile kidogo ila nashindwa na hili tatizo limenisababishia kuw na tumbo kubwa ambalo nalichukia.....nisaidieni kwa mawazo.
Asante nishauri basimarahabaa...una heshima!!
Asante mkuuAnza kupunguza kidogo kidogo, kama ilikua unakula maandazi 10 anza kula 8, baadae 6 hadi ufike mawili, mwili ukiuzoesha kula kidogo unakubali
Vyakula vyote nakamua mkuu,.....anza kula chakula usichokipenda, naamini utakula kidogo tu lkn ukiendekiendelea kula chakula unachokipenda utaendelea kula sana...
Nimeshatavuna hata mwezi bado mkuu ....ila bado nakamua msosidawa ya kupunguza kula hakuna ila dawa ya minyoo ipo
tafuta dawa ya minyoo utafune au kazi unazofanya zinakufanya ule sana au mazoezi yanachangia ule sana la sivyo huli peke yako upo na minyoo
Asante...Kama unatumia dawa za minyoo vizuri na bado hali iko pale pale basi uwe unakula vitu vidogo vidogo visivyo na mafuta mara kwa mara na kunywa maji mengi ya kawaida sio toka frijini kabla ya kula mlo mzito kama chakula cha mchana au usiku
Mlitumia njia ganiWenzako tumesha acha kula mara tatu kwa siku, tunakula mara mbili tu...
Sipati picha ulivo kifutu tehVyakula vyote nakamua mkuu,..
Thanks darlinganza kupunguza kipimo cha kula kwa mfano asubuhi unakunywa uji kikombe kimoja bila kitafunwa na hakikisha mwili wako unajishulisha kufanya mazoezi ya viungo mpaka unatoa jasho ndani ya siku saba utakua umepunguza kiwango cha kula na jiwekee ratiba maalumu ya kula walau kwa siku mara tatu
Si ndo nitakula sana?Ishi maisha ya ki bachelor,pika mwenyewe,OSHA vyombo,washa moto,kanunue nyanya vitinguu,mboga mwenyewe,lazima upunguze kula tu.