Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda unabana...mkuuhili tatizo hata mimi nlikua nalo ila baada ya kuanza kujipikia mwenyewe nikashangaa nmepona gafla,njaa ikiniuma nikitaka kufanya mambo yangu mara vyombo hivi hapa vichafu .hamu yote inaisha nanunua chips navunga
Mkuu...asante nitajitahidi maana naisi nimerogwaNilianza kwa kila ninapo amka nakunywa maji lita 1.1/2 baada ya hapo chai yangu nakunywa saa4, mchana ni Maji na matunda
SawaAcha kunywa maji ya barid