Kuna dawa ya kuondoa hamu ya kula?

Nilianza kwa kila ninapo amka nakunywa maji lita 1.1/2 baada ya hapo chai yangu nakunywa saa4, mchana ni Maji na matunda
 
hili tatizo hata mimi nlikua nalo ila baada ya kuanza kujipikia mwenyewe nikashangaa nmepona gafla,njaa ikiniuma nikitaka kufanya mambo yangu mara vyombo hivi hapa vichafu .hamu yote inaisha nanunua chips navunga
Muda unabana...mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…