Kuna dawa yoyote mahospitalini ya kutengeneza homoimbalance?

Me too

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2015
Posts
7,388
Reaction score
9,333
baadhi ya sababu za kuota ndevu wanawake ni hormonimbalance kama wasemavyo watu wengi.

sasa nauliza tu eti mahospitalini kuna dawa yoyote ya kusawazisha hili tatizo la hormonimbalance, kiukweli ndevu imekuwa kerooo hata poda inagoma.
 

Nenda hospital kachek kwanza utapewa dawa ukiona hazijakusaidia, nenda maduka ya dawa za asili watakupa dawa
 
Bibie pole kwa kuota ndevu ukitumia dawa za hospitali za kurekebisha hormone imbalance zikishindwa kufanya kazi nitafute mimi kwa wakati wako nikutibie kwa dawa za asiliili upate kupona uguwa pole.
 
Yaani hizi nywele zinaupendeleo wakati wanaume wengine hata dalili ya ndevu hakuna alafu unasikia mwanamke analalamika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…