dhk1
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 937
- 556
Salamu kwa wote,
Jamani nilikuwa naomba usaidizi wa kimawazo kuhusu hii ishu. Apo juzi kati katika pitapita zangu mtaani nikiwa napita njia flani nikakuta watu wamefunga njia nikawapigia honi wapi wakakataa kutoka ikabidi niwasogezee gari hadi karibu yao.
Ndipo walipotoka ila baada ya kupita mmoja akaanza kumwaga matusi makubwa ya sana, nikaignore na kuendelea na safari yangu kufika mbele kidogo nikaingia supermarket kumbe wale vijana walikuwa bado wananifuatilia.
Sasa ile nashuka kwenye gari wacha nitukanwe hadi kunitishia maisha. Nilienda kuripoti na leo nimeitwa mahakamani sasa cha kushangaza msoma mashtaka ajasoma ishu ya kutishiwa maisha.
Je, hii kesi ya matusi mtu hupewa mdhamana na je ni adhabu gani atapewa mtuhumiwa.
Nawasilisha ushauri wenu utanisaidia sana