DOKEZO Kuna dhuluma inaendelea SUMA JKT, vibarua wanalipwa kwa mateso, wengine fedha za PSSSF zinafikishwa robo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

0036 savage

Senior Member
Joined
Apr 30, 2019
Posts
189
Reaction score
238
Kuna kampuni inaitwa SUMA JKT ni wababaishaji sana.

Katika Bandari ya Tanga wanalipa vibarua kwa mateso, vibarua hawalipwi kwa wakati pesa zao.

Kingine pesa za PSSSF; mtu pesa alioingiza kwa mwezi ni 400,000 lakini ukienda kuangalia pesa yako utakuta kwa mwezi pesa nyingi uliolipwa ni 100,000 kitu ambacho sio sawa.

Sasa kitu najiuliza hivi, wanavyofanya wanakula pesa pekee yao au wanakula hizi pesa na bandari?

Kama hawali hizi pesa wao, nani anakula pesa zetu ambazo haziwakilishwi PSSSF?
 
So sad
 
Taasisi ya kijeshi kama hiyo walitakiwa wawe vinara katika kutenda haki na kufata sheria ila hata ukiangalia wale wafanyakazi wake unaona kabisa wanalipwa ujira kiduchu na uzalishaji wanafanya mkubwa sana
 
Kuna kampuni inaitwa SUMA JKT ni wababaishaji sana.

Katika Bandari ya Tanga wanalipa vibarua kwa mateso, vibarua hawalipwi kwa wakati pesa zao.

Kingine pesa za PSSSF; mtu pesa alioingiza kwa mwezi ni 400,000 lakini ukienda kuangalia pesa yako utakuta kwa mwezi pesa nyingi uliolipwa ni 100,000 kitu ambacho sio sawa.

Sasa kitu najiuliza hivi, wanavyofanya wanakula pesa pekee yao au wanakula hizi pesa na bandari?

Kama hawali hizi pesa wao, nani anakula pesa zetu ambazo haziwakilishwi PSSSF?
Kama unalipwa 400k ukaingizowa psssf 100k mbona wanawapendelea Sana?
 
Safi sana. Tena hata hiyo 100,000 mbona ni kubwa sana. Bila unyama-unyama kama huu wananchi wataendelea kulala huku watawala wakifilisi nchi.
 
Kwani mkataba wako unasemaje?
Swali gani hili mkataba na kuingiziana pesa tofauti na unayolipwa na kucheleweshewa pesa vinakujaje kwan inatakiwa asilimia ngap ndo ikatwe ili kupelekwa PSSSF ni 10%na mwajiri 10% sasa habar za mkataba sjui nini ndo vinasababisha mtu alipwe laki nne alf PSSSF wasema wanakulipa laki?
 
Kama unalipwa 400k ukaingizowa psssf 100k mbona wanawapendelea Sana?
Ujaelewa kule kwenye form ya PSSSF wanasema mshahara ni laki kwahyo wanakuingizia 20,000 na sio asilimia 20 ya laki nne unayolipwa
 
halafu anakuja mtu na mashavu yake yamejaa mafuta ya kupaka anasema jeshi ndio taasisi iliyobaki na uadilifu😂😂😂

hii nchi tuifukie tu.
 
Suma jkt guard ni kampuni ya hovyo Sana...
haki za mfanyakazi hazifuatwi.
mshahara mdogo
Mazingira ya kazi magumu
Uongozi mbovu na supervisors wao hata common sense hawana..yaani the more kampuni inavyozidi kuwa kubwa ndo wafanyakazi wanavyozidi kuteseka.
Nilidhani kitengo kinachosimamiwa na jeshi kitakua vizuri kiutendaji lakini ni hovyo kabisa.

Uzi tayari
 
Back
Top Bottom