zwangandaba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 747
- 1,404
Na nyie wagambo wa Suma jkt mkishapewa yale makaniki meusi ndio mnakuwaga wanoko balaa,yaani mnajionaga kama makomandoo wa jw wakati mnaishi mais kama digidigi bora hata group 4,knight support ama ultimate security.Suma jkt guard ni kampuni ya hovyo Sana...
haki za mfanyakazi hazifuatwi.
mshahara mdogo
Mazingira ya kazi magumu
Uongozi mbovu na supervisors wao hata common sense hawana..yaani the more kampuni inavyozidi kuwa kubwa ndo wafanyakazi wanavyozidi kuteseka.
Nilidhani kitengo kinachosimamiwa na jeshi kitakua vizuri kiutendaji lakini ni hovyo kabisa.
Uzi tayari
Ile kuwa Suma jkt basi mnajifananisha na jkt wenyewe waajiriwa wa serikali.
Mkiwekwa kwenye ulinzi wa mageti hospitali mnaanza kupigana na wanaokwenda kuangalia wagonjwa mawodini yaani mnakuwa na uchungu utafikiri hospitali za wajomba zeenu.
Bora hata mgambo wa Jiji anaweza kupata nyama na ubwabwa wa bure Kwa kufanya figisu Kwa mama ntilie kuliko nyie.