0036 savage
Senior Member
- Apr 30, 2019
- 189
- 238
So sadKuna kampuni inaitwa SUMA JKT ni wababaishaji sana.
Katika Bandari ya Tanga wanalipa vibarua kwa mateso, vibarua hawalipwi kwa wakati pesa zao.
Kingine pesa za PSSSF; mtu pesa alioingiza kwa mwezi ni 400,000 lakini ukienda kuangalia pesa yako utakuta kwa mwezi pesa nyingi uliolipwa ni 100,000 kitu ambacho sio sawa.
Sasa kitu najiuliza hivi, wanavyofanya wanakula pesa pekee yao au wanakula hizi pesa na bandari?
Kama hawali hizi pesa wao, nani anakula pesa zetu ambazo haziwakilishwi PSSSF?
Baada ya makatoHiyo laki 4 ndio mshahara kabla ya makato?
Kama unalipwa 400k ukaingizowa psssf 100k mbona wanawapendelea Sana?Kuna kampuni inaitwa SUMA JKT ni wababaishaji sana.
Katika Bandari ya Tanga wanalipa vibarua kwa mateso, vibarua hawalipwi kwa wakati pesa zao.
Kingine pesa za PSSSF; mtu pesa alioingiza kwa mwezi ni 400,000 lakini ukienda kuangalia pesa yako utakuta kwa mwezi pesa nyingi uliolipwa ni 100,000 kitu ambacho sio sawa.
Sasa kitu najiuliza hivi, wanavyofanya wanakula pesa pekee yao au wanakula hizi pesa na bandari?
Kama hawali hizi pesa wao, nani anakula pesa zetu ambazo haziwakilishwi PSSSF?
Safi sana. Tena hata hiyo 100,000 mbona ni kubwa sana. Bila unyama-unyama kama huu wananchi wataendelea kulala huku watawala wakifilisi nchi.Kuna kampuni inaitwa SUMA JKT ni wababaishaji sana.
Katika Bandari ya Tanga wanalipa vibarua kwa mateso, vibarua hawalipwi kwa wakati pesa zao.
Kingine pesa za PSSSF; mtu pesa alioingiza kwa mwezi ni 400,000 lakini ukienda kuangalia pesa yako utakuta kwa mwezi pesa nyingi uliolipwa ni 100,000 kitu ambacho sio sawa.
Sasa kitu najiuliza hivi, wanavyofanya wanakula pesa pekee yao au wanakula hizi pesa na bandari?
Kama hawali hizi pesa wao, nani anakula pesa zetu ambazo haziwakilishwi PSSSF?
Hii maana yake mshahara upo around laki 5, hapo mwajiri anaweka 50elfu na mwajiriwa anaweka 50 elfu.Kama unalipwa 400k ukaingizowa psssf 100k mbona wanawapendelea Sana?
makada wa chama tawalaKila mahali upigaji, hii tabia sijui nani katufundisha.
Swali gani hili mkataba na kuingiziana pesa tofauti na unayolipwa na kucheleweshewa pesa vinakujaje kwan inatakiwa asilimia ngap ndo ikatwe ili kupelekwa PSSSF ni 10%na mwajiri 10% sasa habar za mkataba sjui nini ndo vinasababisha mtu alipwe laki nne alf PSSSF wasema wanakulipa laki?Kwani mkataba wako unasemaje?
Ujaelewa kule kwenye form ya PSSSF wanasema mshahara ni laki kwahyo wanakuingizia 20,000 na sio asilimia 20 ya laki nne unayolipwaKama unalipwa 400k ukaingizowa psssf 100k mbona wanawapendelea Sana?
Ujaelewa yan PSSSF mshaara ni laki sio laki nne kwahyo unaingiziwa 20,000Hii maana yake mshahara upo around laki 5, hapo mwajiri anaweka 50elfu na mwajiriwa anaweka 50 elfu.
Ndo ifukiwe sasahalafu anakuja mtu na mashavu yake yamejaa mafuta ya kupaka anasema jeshi ndio taasisi iliyobaki na uadilifu[emoji23][emoji23][emoji23]
hii nchi tuifukie tu.
Hivi mkuu umemuelewa alichokiandika kweli?Kama unalipwa 400k ukaingizowa psssf 100k mbona wanawapendelea Sana?