Sinai
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 288
- 47
Jamani Watanzania wenzangu, kwa takribani wiki mbili sasa nipo kwenye data collection(field) ktk shule mbalimbali za msingi mkoani wa Dodoma! Kuna mambo yameniacha hoi, ktk shule 12 nilizotembelea kutoka kata mbalimbali, shule 2 zinajumla ya madawati 16 kila moja na wanafunzi zaidi 400 kwa kila shule.Shule zingine 6 kwa ujumla zinawastani wa madawati 32 kila moja na wanafunzi 470 kila moja, na zinazobzki zina tatizo pia la madawati!
Hoja hapa ni je, ktk mazingira haya ya wanafunzi 400 na madawati 12, wanafunzi wa shule za msingi wanapata elimu bora hapo? wenye nguvu ndio wanaokaa kwenye madawati na wale wanyonge hukaa kwenye vumbi kwani madarasa hayana sakafua kabisaa! Je Watanzania tutapata elimu bora hapo?