Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
wivu mwingine kukatisha starehe za wengine😆😆*UNAWAKUTA MBWA WANAFANYA MAPENZI WE UNAWAPIGA MAWE UTAFIKIRI PANA EX WAKO PALE*
Wivu tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utadhani alishawahi kutwa na mbwa wakampiga mawe, yaani analipa kisasi!wivu mwingine kukatisha starehe za wengine😆😆
Ni kama paka wa Dar akiona panya utasikia anapiga kelele kwa sauti kubwa nyau nyau, mkitoka nje mnakumkuta anamkimbia panya.Mbwa wa dar wana nidham sana kukuta wana sex ngum sana,ila mkoan hkoo had mchana[emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums